Baadhi ya Features za kuzingatia utakavyopanga kununua gari lako lijalo

Hiyo namba 3 nimeipenda Sana maana features nyingi kama hizo zipo kwenye magari ya 2014-2024
Heads up Display unyama aisee. Yeah mfano BMW F30 za kuanzia 2014. Tatizo mkuu izo features ukizianza, kamwe hauziachi.

Mfano iyo HUD mi nishasahu kuangalia dashboard kujua speed nikiwa naendesha.

Wameongeza mbwembwe sahivi zinaonesha notification zote mfano mafuta yakiwa low, kukata kona, hadi speed limit (hii habari mbaya kwa matrafiki).

Zipo Aftermarket unaweza kuweka kwenye gari lolote, ila haitakua the best kama iliokuja na gari.
 
Nikibadilisha gari lazima nifunge hiyo system aisee.
 
Umeweka dondoo za muhimu sana mkuu.
Gari zonazokuja na hizo features nyingi ni kuanzia 2012. Nje na hapo ni mwendo wa after market tu.
 
Sure. Uzuri hapo features nyingi unaweza kuzipata aftermarket.
Ila taratibu gari za miaka ya karibuni zinashuka bei ukiacha toyota. Mfano sasa hivi Mitsubishi Outlender ya 2015 gharama za TRA ni 13m. Means ukiwa na 26-30 unaipata na hizo features, kama sio zote basi utazikosa chache sana.
 
Hiyo 3rd generation ya Outlander almost vyote unapata. Ina lane departure system, adaptive cruise control, Hill Asist (hii feature tamu pia) na airbags za kutosha hadi kwenye miguu (upande wa dereva na abiria wa mbele)

Nimeshangaa sana bei yake aisee.
 
Vichache sana vinatufaa nchi kama Tanzania ilijaa bajaji na boda utadhani ni dampu la takataka.
 
Last month ilikuwa imesimama pale TRA ila kuanzia April ikadrop sana. Ngoja nijichange hadi December niruke nalo kupitia offer za kumalizia mwaka. Ukiwa na 30m inaingia barabarani na chuma safi kabisa ya 2015.
 
Haya magari ya sasa unaweza usimalize kutumia features zote mpaka linachakaa, kuna jingine nimelikuta likiguswa na unyasi tu linalalamika ati linahofu ya kuchubuka rangi
Zinakuwaga Ni sensor Boss hata mtu akisogea karibu yako inaanza kuongea ongea๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Ni kama hizo pembeni zinakuwa mbele na nyuma.
 
Mkuu naomba elimu kdg kuhusu haya magari ambayo yaki-move kwa muda fulani yanatoa sana harufu za mafuta,, hadi inakuwa kero sana ndani ya gari hapa shida inakuwa nini? Wengine husema gari limechoka! naomba ufafanuzi wa kitaalamu gari inachoka vipi?
Hiyo itakua shida ya kimakenikia. Hapo mafundi watatusaidia mzee angekua hewani JituMirabaMinne angemaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ