Baadhi ya hospitali binafsi zilizotangaza kutotoa huduma kwa wateja wa NHIF kuanzia 1/3/2024

Wewe kichwa maji kweli!!Upo nchi hii kweli?Barua yao ya awali inayosema wamekaa meza moja na wameshindwa kupata mwafaka umeisoma???Tatizo lako ni UMALAYA wa KISIASA ulionao .
""Huduma za kiafya zipo kwa kumponya mtanzania mgonjwa, wagonjwa wengine wapo kwenye mashine mbali mbali""
#stopkillinginocent!
 
Hakuna matibabu ya bure bongo, serikali iwajibike
 
Mimi naona NHIf nao wakaze buti, hakuna kupeleka wateja huko, na serikali na waajiri Kwa jumla wanatakiwa kuangalia hii mifuko ya bima ya Afya inawasaidiaje wafanyakazi wanapo staafu. Au wao wakisha kula mshiko wao hawawajali wafanyakazi tena.
Sera ya bima ya Afya inatakiwa ipitiwe upya na wataalamu sio wanasiasa. Wanasiasa hawajui na hawana maono ya muda mrefu zaidi ya mapato Yao saa hiyo hiyo
 
Serikali inapokea michango,inakula

Halafu inakuja hapa wananchi wake wapewe matibabu bure na bei za kulalia....fvck government and politicians

Plus ,fvck the citizens...they are so stupid with their politicians they picked to run their dysfunctional govt offices....kufeni
 
Nadhani hapo wametoa huduma ya awali kwa siku mbili.
Kumbuka nao wanafanya biashara tatizo nikwamba hawajafikia muafaka. YAANI SERIKALI IMEANGALIA MASLAHI YAKE KWAHIYO UNATAKA HOSPITALI BINAFASI NDIO ZIGHARAMIE MATIBABU YA WANANCHI?
CC Yoda

Hizo hatua

Medically it’s wrong kwa sababu ya ethics za industry (medical ethics) mgonjwa anakuja kwanza hela inafuata baadae ukishaanza matibabu. Uliwahi kutokea mgogoro U.K. bunge lao lilipitisha sheria hospitali za serikali lisitibu wagonjwa (hasa watalii wasio na bima ya afya) au illegal immigrants wasio na national insurance.

Madokta wakatoa tamko la pamoja sisi mtu akija kwa emergency atuwezi wacha kumtibu, tutampa deni lake baadae huko serikalini mjue mtakavyo madai. Ethics za kazi azitaki kuona mtu anafia mbele yao bila ya kujaribu kuokoa maisha.

Kisheria: Tort

Hospitali na madaktari wana ‘duty of care’ kuacha kumuhudumia mgonjwa mahututi hiyo ni negligence. Hii inaweza kuwa upgraded to become manslaughter na kugeuzwa criminal case serikali ikiingilia.

Kisheria: Contract law

Acceptance is unconditional in contract law. Maana yake nini ukishapokea mgonjwa kwa kukubali offer iliyopo mezani (NHIF payments, at the time), uwezi baadae kubadili mawazo na kusema unataka malipo yaongezwe. Mahakama itakuwa upande wa mgonjwa.

Other possible legal challenges

Hata kama hao NHIF hawana notice period ya kuvunja mkataba (which is stupid kama awakuweka hiyo clause) bado watu wanaweza shitaki kutoa notice ya siku mbili ni irresponsible and reckless to the safety of patients wanaopokea huduma tayari.

Ni hivi ni sawa hospitali kuachana na NHIF (kwa kutochukua new patients) ila wanajukumu la kumalizia huduma walizoanza kutoa kwa wagonjwa ambao tayari wapo under their care already; for many reasons legally and ethically.
 
Mnajua kundi kubwa la wanaotumia hizi bima za NHIF ni watu wabaina gani? Haya mambo yawekwe sawa mapema
 
Suluhi
SUluhisho la kwanza wafanyakazi wasilazimishwe kuwa wanachama wa NHIF, Iwe lazima kila mfanyakazi awe na bima lakini awe na uhuru wa kuchagua mfuko wa bima wa kujiunga nao ikiwemo mifuko ya binafsi kama Strategis hata kama watalazimika kullipia zaidi. Pia kwa wasioajiriwa iwe hivyo hivyo. Mtu mwenyewe ndiyo ataangalia kipato chake kinamruhusu akate bima mfuko upi na package gani.

Sasa kama mgomo huu ukiendelea baadhi ya wanacha.ma wa NHIF wataingia gharama zaidi maana wataendelea kwenda private hospitai na kulipa pesa taslimu ili wapatiwe huduma huku wakiendelea kukatwa pesa na NHIF. Mtu anayejutambua na mwenye uwezo hawezi kukubali aende hospitali ya umma yenye huduma mbovu.

Pengine huu ni mkakati wa makusudi wa kulazimisha wanachama wote wa NHIF watibiwe hospitali za serikali ii pesa izunguke katIika hospitali za umma.
 
RIP mzee Rukhsa

RIP Laigwanani Lowassa

Kufuatia Private hospitals kugoma kutoa huduma kwa Watu Wenye NHIF kimbilio pekee limebaki kwenye Government hospitals na Hospital za Kanisa

Mungu wa Mbinguni awabariki walioasisi Ushirikiano wa Serikali na Kanisa kwenye Huduma za Afya na Elimu

Jumaa Mubarak 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…