Baadhi ya imani potofu kuhusu kunyonyesha

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Maziwa ya kwanza ya mama si mazuri kwa mtoto yanapaswa kumwagwa

Kunyonyesha humfanya mama anenepe kupindukia

Maziwa ya mama pekee hayawezi kumridhisha mtoto wa umri wa miezi 0 hadi sita.

Baadhi ya vyakula si vizuri kwa wanawake wanaonyonyesha

Ni lazima mtoto mchanga anywe maji mara baada ya kuzaliwa

Maziwa ya mama humfanya mtoto ajihisi mwenye kiu.

Baadhi ya wanawake hudai wanaponyonyesha matiti yao husinyaa na kuanguka.
 
Mleta mada tueleze faida za kunyonyesha na madhara yanayoweza kuwapata watoto wanaokosa maziwa ya mama.
 
Niliambiwa "Ni binadam pekee Kati ya wanyama wote ambae atatumia msaada wa vyakula vilovyochezewa kumlisha mtoto wake na Kupuuzia maziwa ya mama."

Hili Lina ukweli wowote ?
 
Maziwa ya kwanza ya mama si mazuri kwa mtoto yanapaswa kumwagwa

Kunyonyesha humfanya mama anenepe kupindukia

Maziwa ya mama pekee hayawezi kumridhisha mtoto wa umri wa miezi 0 hadi sita.

Baadhi ya vyakula si vizuri kwa wanawake wanaonyonyesha

Ni lazima mtoto mchanga anywe maji mara baada ya kuzaliwa

Maziwa ya mama humfanya mtoto ajihisi mwenye kiu.

Baadhi ya wanawake hudai wanaponyonyesha matiti yao husinyaa na kuanguka.
KONGOLE KWA TAARIFA HII
 
Back
Top Bottom