Baadhi ya Kauli za maudhi ya viongozi wa Tanzagiza wakisha shiba

Bando la wiki

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2023
Posts
911
Reaction score
3,017
1. Kuleni NYASI, ndege ya RAIS lazima inunuliwe

2. MILLION 10 NI MBOGA YA NYANYA

3. Acheni wivu wà KIKE.

4. FOLENI Dar ni ishara ya maisha bora

5. Asiyeweza kulipa NAULI APIGE MBIZI

6. KIFO NI KIFO TU

7. KATIBA NI KIJITABU TU

8. WATU WAZURI HAWAFI

9. Nilisema wakati ule na narudia tena anayeona ananyanyaswa AHAMIE BURUNDI, hii ni sheria na nilipendekeza MIMI TOZO HIZO sina uwezo wa kuzifuta.

10. MASKINI ambaye hana cha kulipa hapewi mkopo.

11. Hakuna siku Mtanzania mmoja mmoja ATAGONGEWA MLANGONI kwake kwamba unadaiwa fedha hizi kwa sababu nchi yako ilikopa, hakuna.

12. Kwanza WACHAWI WAMESHA KUFA

N:B
Hapa ni kuweka rekodi sawa kwamba wapo viongozi wanaweza kutamka hayo mbele ya kadamnasi. Ipi ni kauli iliyosaulika??
Ongea kwa code viongozi waliotamka kauli hizo.
 
NYIE NI MBUMBUMBU.
 
Back
Top Bottom