Baadhi ya Kauli za maudhi ya viongozi wa Tanzagiza wakisha shiba

Kikwete anahusika sana kwenye kifo cha mzee Basil Mramba
 
Tumemkaribisha Lowassa kwasababu tunataka dola
 
1.Jero mtaiita shilingi mia tano tena kwa heshima 'tafadhali naomba unisaidie shilingi mia tano'. 2.Suruali zinazowabana msizitupe kwenye utawala wangu nawahakikishia zitawatosha tena na kweli zilitutosha. 3.Watu wanyumba moja watagombea majembe angalau hata uwe na tuta la viazi .John Pombe Magufuli.
 
Maendeleo ya Rais Samia kwa miaka hii mitatu ni kama miujiza -NCHIMBI
 
Hahahaha 🤣
 
Reactions: EEX
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…