Baadhi ya kina dada acheni hii tabia ya kuchukua vitu vya wenza wenu mnapowatembelea

Baadhi ya kina dada acheni hii tabia ya kuchukua vitu vya wenza wenu mnapowatembelea

Kuna mwingine nilikuta Ganda la P2 chini ya uvungu kumuuliza akanilazimisha kuwa ni mimi ndio nimekunywa tena akafoka kua najizuia kushika ujauzito wake… yule jamaa aling’ang’ania sana.. huwezi amini alinilazimisha nikubali wakati hata hizo p2 sikuwahi kuzijua wala kutumia

Wanaume mtachomwa na gas
Kuna muda kunakuwa hakuna cha kudanganya inabidi nyeupe kama theluji uiite nyeusi kama oil chafu.
 
Wee mie sio kikana naweza kukupeleka hospital mshangazi....usidjani kisa kibamia ukanichukulia poa
Hahahaaa vijana hizo kazi mnaziweza sana unadhani nina mashaka basi?🤣🤣🤣ndio maana sisi mishangazi tunawapenda.
 
Hahahaaa vijana hizo kazi mnaziweza sana unadhani nina mashaka basi?🤣🤣🤣ndio maana sisi mishangazi tunawapenda.
Mtupe na sie wazee wenzenu tako titi tumbo jamani
 
Huo ndio uhalisia....ukiweza kubeba matatizo ya mwanaume wako kama yako hawezi kukuacha kamwe... Atahangaika lakini mwisho atarudi kwako kukukabidhi chochote Mungu alichombariki.
Yaani atakua dhaifu kwako na atakufanya namba 1 ndipo wafate wazazi wake
Ndio awe amekupenda sasa sio unabeba madhaifu ya mtu then hata hakupendi
 
Mtu anakuja kwako na kuanza kutamani vitu kisha kuchukua haijakaa poa. Mimi nilikuwa na track suit yangu nzuri sana ya bei mbaya ila tayari wameshachukua.

Mmoja alichukua jacket na mwingine akachukua track ya chini. Ni kama waligawana. Tshirts kadhaa pia zimechukuliwa.

Majuzi hapa nilinunua blender baada ya kuona ni bora nijitengenezee juice. Bahati mbaya kutokana na ratiba zangu za kuondoka mapema na kurudi usiku nikawa sijaitumia kabisa. Mdada alitaka aondoke nayo ikiwa ndani ya box sijafungua. Hii sio sawa.

Ninajua hali ni ngumu ila mjikaze mnapowatembelea watu wenu. Pia mkija njooni na vitu kama tray la mayai, kuku, hata debe la mpunga ni sawa, kinachobebeka kutoka huko kwenu njoo nacho.
bro unasound too weak kwa hawa malaya😂😂😂

Ebu kaza hawana shukrani hawa viumbe!!!
 
Ndiyo atajifunza.
Kuna huyo mmoja yeye kila siku anaenda kwa boyfriend wake akiwa kazini kupika chakula kisha anabeba anapeleka kwao wanaenda kula. Ni mwendo wa kupasua mayai na misoseji tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanajisosomolaaa.
 
Ngoja nianze kubeba madebe ya mpunga[emoji38][emoji38]! Ila Huyo aloondoka na brenda mwizi hio tamaa sio ya kawaida! Mimi napenda saa navaa saa ya baby nakuja nayo hapo hapo kwako ikiwa na Muonekano ule ule [emoji28][emoji28], sometimes ni kutengeneza tu bond ila isiwe too much! Tshirt za watu unachukua kila ukienda anyway kumbe hampendi kwanzia leo sichukui hata punje ya haradari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijui kama unaweza muumiza Mtu unaempenda
Hakuumizi makusudi unakuta ni tamaa zake tu alafu anadhamiria kupoteza ushahidi.

Siku ukikuta jambo kama hilo mpe pole alafu mpetipeti utaona atakavyobadilika na kuongeza upendo kwako.

Ukichukulia hasira unampoteza kabisa
 
Wee yataka moyo!
 
Wee yataka moyo!
Vitu kama hivi huweziambiwa na mashoga zako ila ukivijua na kuweza kviishi utaona matunda yake..
Kuanzia wewe, watoto wenu mpaka wajukuu mtakula mema ya nchi huku uzao wako ukijivunia kuwa na mama bora.... Cha muhimu ukifanya haya ufanye kwa mwanaume anaejua kutafuta hela
 
Mi siwezi kukubali unisingizie. Na ukiona nimekubali ujue nimekuweka kiporo 😄
 
Back
Top Bottom