Baadhi ya kina dada acheni hii tabia ya kuchukua vitu vya wenza wenu mnapowatembelea

Baadhi ya kina dada acheni hii tabia ya kuchukua vitu vya wenza wenu mnapowatembelea

Ngoja nianze kubeba madebe ya mpunga😆😆! Ila Huyo aloondoka na brenda mwizi hio tamaa sio ya kawaida! Mimi napenda saa navaa saa ya baby nakuja nayo hapo hapo kwako ikiwa na Muonekano ule ule 😅😅, sometimes ni kutengeneza tu bond ila isiwe too much! Tshirt za watu unachukua kila ukienda anyway kumbe hampendi kwanzia leo sichukui hata punje ya haradari.
Kuna msichana mmoja atakayemwoa atakuwa kaoa wife material.. alikuja kwangu na tray la mayai (mayai 32)... kwao wanafuga kuku wa mayai.
 
Mzee mwenzangu kuna shogaako alikuja amevaa pedi nikaitoa nikaitupa chini ya uvungu nikapiga hivohivo alipoondoka nikasahau kuitoa baada ya siku chache akaja mchumba wangu ambae ndio mke wangu kwa sasa akaikuta, akaleta noma lakini mimi nikamlazimishia yeye ndio aliiacha.

Alikubali tu na maisha yakaenda 😁
Kuna mwingine nilikuta Ganda la P2 chini ya uvungu kumuuliza akanilazimisha kuwa ni mimi ndio nimekunywa tena akafoka kua najizuia kushika ujauzito wake… yule jamaa aling’ang’ania sana.. huwezi amini alinilazimisha nikubali wakati hata hizo p2 sikuwahi kuzijua wala kutumia

Wanaume mtachomwa na gas
 
Sasa ulitaka akwambie kuna dada alikuja hapo geto kwake kusalimia?😁
 
Ndugu ndio anilazimishe ni mimi aisee nilijisikia vibaya
Ilitakiwa ukubali ndivyo tunataka.... Hujui mwanaume hata kama amekosea anaombwa msamaha yeye?

Ukikubali maana yake anaamini unaweza kuyabeba matatizo yake kama yako...
 
Tokeni hapa
Huo ndio uhalisia....ukiweza kubeba matatizo ya mwanaume wako kama yako hawezi kukuacha kamwe... Atahangaika lakini mwisho atarudi kwako kukukabidhi chochote Mungu alichombariki.
Yaani atakua dhaifu kwako na atakufanya namba 1 ndipo wafate wazazi wake
 
Back
Top Bottom