Baadhi ya kina dada acheni hii tabia ya kuchukua vitu vya wenza wenu mnapowatembelea

Mtu anakuja kwako na kuanza kutamani vitu kisha kuchukua haijakaa poa. Mimi nilikuwa na track suit yangu nzuri sana ya bei mbaya ila tayari wameshachukua.

Mmoja alichukua jacket na mwingine akachukua track ya chini. Ni kama waligawana. Tshirts kadhaa pia zimechukuliwa.

Majuzi hapa nilinunua blender baada ya kuona ni bora nijitengenezee juice. Bahati mbaya kutokana na ratiba zangu za kuondoka mapema na kurudi usiku nikawa sijaitumia kabisa. Mdada alitaka aondoke nayo ikiwa ndani ya box sijafungua. Hii sio sawa.

Ninajua hali ni ngumu ila mjikaze mnapowatembelea watu wenu. Pia mkija njooni na vitu kama tray la mayai, kuku, hata debe la mpunga ni sawa, kinachobebeka kutoka huko kwenu njoo nacho.
Starehe gharama. Kama hutaki, oa!
 
Hao cha Mtoto kuna hawa wa huku liwale wanaiba Boxer wanaenda kukutengeneza wakunyooshe.
 
Mtu anakuja kwako na kuanza kutamani vitu kisha kuchukua haijakaa poa. Mimi nilikuwa na track suit yangu nzuri sana ya bei mbaya ila tayari wameshachukua.

Mmoja alichukua jacket na mwingine akachukua track ya chini. Ni kama waligawana. Tshirts kadhaa pia zimechukuliwa.

Majuzi hapa nilinunua blender baada ya kuona ni bora nijitengenezee juice. Bahati mbaya kutokana na ratiba zangu za kuondoka mapema na kurudi usiku nikawa sijaitumia kabisa. Mdada alitaka aondoke nayo ikiwa ndani ya box sijafungua. Hii sio sawa.

Ninajua hali ni ngumu ila mjikaze mnapowatembelea watu wenu. Pia mkija njooni na vitu kama tray la mayai, kuku, hata debe la mpunga ni sawa, kinachobebeka kutoka huko kwenu njoo nacho.
Tabia mbaya sana
 
Umeamua kuwasimanga ndugu zako humu jf.
Kama wanapita humu wamekusikia.
 
Back
Top Bottom