Baadhi ya kina dada acheni hii tabia ya kuchukua vitu vya wenza wenu mnapowatembelea

Kuna muda kunakuwa hakuna cha kudanganya inabidi nyeupe kama theluji uiite nyeusi kama oil chafu.
 
Wee mie sio kikana naweza kukupeleka hospital mshangazi....usidjani kisa kibamia ukanichukulia poa
Hahahaaa vijana hizo kazi mnaziweza sana unadhani nina mashaka basi?🤣🤣🤣ndio maana sisi mishangazi tunawapenda.
 
Hahahaaa vijana hizo kazi mnaziweza sana unadhani nina mashaka basi?🤣🤣🤣ndio maana sisi mishangazi tunawapenda.
Mtupe na sie wazee wenzenu tako titi tumbo jamani
 
Ndio awe amekupenda sasa sio unabeba madhaifu ya mtu then hata hakupendi
 
bro unasound too weak kwa hawa malaya😂😂😂

Ebu kaza hawana shukrani hawa viumbe!!!
 
Ndiyo atajifunza.
Kuna huyo mmoja yeye kila siku anaenda kwa boyfriend wake akiwa kazini kupika chakula kisha anabeba anapeleka kwao wanaenda kula. Ni mwendo wa kupasua mayai na misoseji tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanajisosomolaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijui kama unaweza muumiza Mtu unaempenda
Hakuumizi makusudi unakuta ni tamaa zake tu alafu anadhamiria kupoteza ushahidi.

Siku ukikuta jambo kama hilo mpe pole alafu mpetipeti utaona atakavyobadilika na kuongeza upendo kwako.

Ukichukulia hasira unampoteza kabisa
 
Hakuumizi makusudi unakuta ni tamaa zake tu alafu anadhamiria kupoteza ushahidi.

Siku ukikuta jambo kama hilo mpe pole alafu mpetipeti utaona atakavyobadilika na kuongeza upendo kwako.

Ukichukulia hasira unampoteza kabisa
Wee yataka moyo!
 
Wee yataka moyo!
Vitu kama hivi huweziambiwa na mashoga zako ila ukivijua na kuweza kviishi utaona matunda yake..
Kuanzia wewe, watoto wenu mpaka wajukuu mtakula mema ya nchi huku uzao wako ukijivunia kuwa na mama bora.... Cha muhimu ukifanya haya ufanye kwa mwanaume anaejua kutafuta hela
 
Mi siwezi kukubali unisingizie. Na ukiona nimekubali ujue nimekuweka kiporo 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…