DOKEZO Baadhi ya Maafisa wa Uhamiaji Wilaya ya Muleba wanatumia 'Road Barrier' kula rushwa

DOKEZO Baadhi ya Maafisa wa Uhamiaji Wilaya ya Muleba wanatumia 'Road Barrier' kula rushwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Naomba nifichue huu uovu wa baadhi ya Maafisa wa Uhamiaji waliopo Wilaya ya Muleba, wameweka “Road Barrier” maeneo ya Kasindaga wamekuwa na tabia ya kula rushwa hao na kunyanyasa watu wanaopita eneo hilo, ukipita tu bila kitambulisho lazima uache pesa pale la sivyo kazi unayo.

Hili lichukuliwe hatua kwa kuwa inakera na inaumiza watu wengi. Raia wanapofika hapo wanaombwa kati ya Shilingi 5,000 hadi 10,000 inategemea na muonekano wa mtu.
 
Back
Top Bottom