Baadhi ya mabasi ya mwendo kasi taa zimeungua

Baadhi ya mabasi ya mwendo kasi taa zimeungua

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,853
Reaction score
4,503
Muda huu natoka darasani hapa DIT nimeshuhudia basi la mwendo kasi la Kutoka Morocco kwenda kivukoni(Kipisi) taa za mbele na nyuma haziwaki kasoro moja ya nyuma kushoto (ukilitazama basi kwa nyuma),

Hii ni hatari sana,kwa waenda kwa miguu hasa wenye matatizo ya macho na hata abiria,dereva na wengineo.
 
Serikali ambayo haijali Kura yako yaani Hilo basi likipata ajali watasema ni mungu amepanga nonsense kabisa,no reform No election
 
Muda huu natoka darasani hapa DIT nimeshuhudia basi la mwendo kasi la Kutoka Mwenge kwenda kivukoni(Kipisi) taa za mbele na nyuma haziwaki kasoro moja ya nyuma kushoto (ukilitazama basi kwa nyuma),

Hii ni hatari sana,kwa waenda kwa miguu hasa wenye matatizo ya macho na hata abiria,dereva na wengineo.
Hapa watasema wewe mpinzani
 
Na leo nimesikia wanataka SGR ya jijini...hivi kwanini viongozi wa serikali nao wasishtakiwe kwa uongo na mismanagement ya hela za umma ?
 
Mimi Huwa naona ni Bora hizi barabara za mwendokasi zilizojengwa Kwa Kodi zetu zitumiwe na magari yote maana mabasi yaliyokusudiwa yameshindwa kufanyakazi inavyotakiwa
 
mim nawaza hizi hapa wameziweka hapa. sijui zinauzwa
 

Attachments

  • 20250105_122934.jpg
    20250105_122934.jpg
    314.8 KB · Views: 34
Back
Top Bottom