TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Hapa watasema wewe mpinzaniMuda huu natoka darasani hapa DIT nimeshuhudia basi la mwendo kasi la Kutoka Mwenge kwenda kivukoni(Kipisi) taa za mbele na nyuma haziwaki kasoro moja ya nyuma kushoto (ukilitazama basi kwa nyuma),
Hii ni hatari sana,kwa waenda kwa miguu hasa wenye matatizo ya macho na hata abiria,dereva na wengineo.
Shauri yao na vichwa vyao vitupuHapa watasema wewe mpinzani
Ni Morocco si mwengeKuna basi la mwendokasi linatoka Mwenge kwenda Kivukoni siku hizi?