Baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam tumekula sikukuu hii bila Umeme

Baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam tumekula sikukuu hii bila Umeme

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
3,192
Reaction score
7,112
Baadhi ya Maeneo ya hapa Dar tumekosa umeme tangu asubuhi tu hadi jioni hii.

Ila ninaamini Mama yetu angalijua Mapema tusingeshinda bila umeme, hata Waziri Mkuu angelijua mapema tusingelikosa umeme , pia waziri wa Nishati angelijua mapema sikukuu hii tusingeshinda bila umeme.
 
Bora nyinyi mmekula bila umeme mimi nimekula chapati tu yani chapati mkuu chapati tu si unazijua chapati..?
waislamu leo mmejua kuninyoosha halafu sasahivi wananipigia amapiano hapa!..😂
 
Bora nyinyi mmekula bila umeme mimi nimekula chapati tu yani chapati mkuu chapati tu si unazijua chapati..?
waislamu leo mmejua kuninyoosha halafu sasahivi wananipigia amapiano hapa!..😂
Tunasubiri chakula kishuke vzr, tuanze kuzagamuana ili usikie miguno 🔥
 
Noma SANA...............

Jamani mitano kwa mama...........
 
Huwa hawajui kabisa mkuu,ukikaa kwenye makaz yao utaelewa,ofisin kuna automatic jenereta ,sasa lin watajua kama kuna tatzo
Huijui CCM Wewe
IPTL Kwenye Report Ya CAG Mwaka Huu Unadhani Imetajwa Bahati Mbaya
 
Back
Top Bottom