Baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam tumekula sikukuu hii bila Umeme

Baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam tumekula sikukuu hii bila Umeme

Na jamaa yangu tunamuuita Tanesco.

Umeme ukikata... Huwa anasema.

"Nakata umeme na hamna chakunifanya na kirudushi umeme mna furahi na kushangilia kama vichaa au wendawazimu "
 
Back
Top Bottom