Baadhi ya maeneo yameinuliwa hivyo kutengeneza mto katikati ya SGR na reli ya zamani, hapa drainage system ipo wapi?

Baadhi ya maeneo yameinuliwa hivyo kutengeneza mto katikati ya SGR na reli ya zamani, hapa drainage system ipo wapi?

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Leo nimeenda kule chini kucheki ule mradi, nimebaki nashangaa tu yaani huu mradi mtasubiri sana. Wamemwaga hardcore alafu baadhi ya maeneo ardhi imeinuliwa hivyo kutengeneza mto ktkt ya SGR A na reli ya zamani sasa hapa drainage system ipo wapi au watatumia pump maana maji yana tabia ya kupenya chini ya ardhi na kuanza kudhoofisha mchanga kisha changa likashuka lote au ndio ile ahadi ya kutuletea mto imekamilika mtuambie.

Nawasilisha

UPDATES
Kuna watu wamevamia uzi wakijua wanakijua wanaongea na kibaka wa CHADEMA au teja lililotumwa na chadema mm sitotaja identify yngu kamwe ila mkae mkijua kuna mirad ni poor plan na ma engineer wenzetu wamelala ukienda pale nkurumah kwenye lile daraja waliweka beams nilishangaa sn yaan km ingetokea tren ishushe full weight pale zile beams zingekatika na km ni za pig iron basi daraja lingefail lote pe kwan urefu wa span ilibid wawrke arch bridge kwasababu daraja lipo nch kavu km inhekuwa baharin wangeweka cable suspended au stayed bridge walipoona washabug sasa hv wamevunja lile daraja wameanza na moja na mipesa kibao ishatumikq pia pale jangwan mrad wa UDART ulijengwa na maengineer kibao na hata kipindi wanajenga mvia zilinyesha je walishindwa kufanya analysis pasijae maji pale sasa mtu anakuja huko kisa kapewa 7000 nae kaingia mambo ya CIVIL kisa tu anaitetea CCM kwa kwel tuna safar ndefu jambo lengine la kuchekesha km maguful angetaka kujenga SGR kwann hawakufanya RESEARCH watafute route nyingine via map SGR ijengwe huko wao wakaona tuijenge hapa hapa karibu na teli ya zaman inachekesha sn hv unajua kwamba rel ballast lazima ikae juu kisha zije kokoto na mchanga ulioinuliwa ndio foundation sasa tel zipo mbili zote zimeinuliwa apo kati si ni mto huo maji yatadiffuse chin mwisho ndo utasikia soil degredation udongo umeahuka na safar zimeahirisha baadh ya maeneo wamechimba wamemwaga hardcore ili iweje labda wanataka kujenga ukuta au foundation ya zege na sijawah ona hii kwa kren expect zile zinazopita chin ya ardh kwa nch za wenzetu
 
Ashakuambia utaisha 2090

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Magufuli ni dikteta kweli halafu mjanja sana yaani waziri mkuu wa China alipokuja fasta akamsainisha mkataba ili aanze kujenga kipande cha Isaka kwenda Mwanza maana anajua fika Rais ajaye hatoendeleza hii reli kufika Mwanza so alichofanya ame- force hii reli kupelekwa huko.

Anatambua fika Rais timamu hawezi hangaika na li- mradi lisilokuwa na faida kwa sasa.
 
Leo nimeenda kule chin kuchek ule mradi nimebak nashangaa tu yaan huu mrad mtasubir sn wamemwaga hardcore alafu baadh ya maeneo ardh imeinuliwa ivo kutengeneza mto ktkt ya SGR A na rel ya zaman sasa hapa drainagesystem ipo wap au watatumia pump maana maji yanatabia ya kupenya chin ya ardh na kuanza kudhoofisha mchanga kisha changa likashuka lote au ndio ile ahadi ya kutuletea mto imekamilika mtuambie

Nawasilisha
Lini tutaanza kukarabati makao yetu makuu pale ufipa kamanda?
 
kwa mwandiko huu hata ungesema SGR itaisha mwaka 20900 wala nisingeshangaa kabisa!!
Ebu niambie hardcore au drainage system manake nini? Ukiona huelewi kitu jua uzi si wako subiri maengineer waje
 
Kalia hulo mkuu update mpya hujui unakuja bila ushaid huna unakuja kuja na ndoo maan umeleta huk kweny jukwaa la sias kwakua wote mnakaa kubishan bila vielelez ayaa bishanen
 
Si mlisema hamna hata sentimeta moja iliyojengwa? Shame on you,
Nyoko wewe, reli yenyewe inaenda mwaka wa 6 haijafika hata hapo Morogoro huko Dodoma si itafika baada ya miaka 20 ijayo. Ukweli useme Magufuli amekurupuka kuanzisha miradi mingi mikubwa kwa mkupuo ili hali serikali haina pesa ya kutosha.

Bora hizi fedha za reli angewekeza kwenye kilimo na mifugo huwenda tungekuwa mbali kwa miaka 6 hii ya uongozi wake wa mabavu.
 
Kalia hulo mkuu update mpya hujui unakuja bila ushaid huna unakuja kuja na ndoo maan umeleta huk kweny jukwaa la sias kwakua wote mnakaa kubishan bila vielelez ayaa bishanen
Mkuu nenda maeneo ya Pugu ujionee au waulize watu wa Pugu
 
Leo nimeenda kule chin kuchek ule mradi nimebak nashangaa tu yaan huu mrad mtasubir sn wamemwaga hardcore alafu baadh ya maeneo ardh imeinuliwa ivo kutengeneza mto ktkt ya SGR A na rel ya zaman sasa hapa drainagesystem ipo wap au watatumia pump maana maji yanatabia ya kupenya chin ya ardh na kuanza kudhoofisha mchanga kisha changa likashuka lote au ndio ile ahadi ya kutuletea mto imekamilika mtuambie

Nawasilisha
Bado hujaeleza kwanini itakamilika 2090
 
Nimefungua tu ili nicheke wazomeaji ama wafurahio unaposhindwa kitu ama kuipata zero
 
Back
Top Bottom