Baadhi ya maeneo yameinuliwa hivyo kutengeneza mto katikati ya SGR na reli ya zamani, hapa drainage system ipo wapi?

Mm ndio nilisema afu tambua kwanza mpaka sasa inajengwa foundation sijaona reli wala chuma cha rel
Mkuu kuna siku jpm alipanda treni kupitia reli hiyo ya sgr wakati anakagua maendeleo yake.. na tumeambiwa kipande cha Dar Moro kimekamilika zaidi ya asilimia 90 leo wewe unasema hakuna reli ni msingi tu?
 
Leo nimeenda kule chin kuchek ule mradi nimebak nashangaa tu yaan huu mrad mtasubir sn wamemwaga hardcore alafu baadh ya maeneo ardh imeinuliwa ivo kutengeneza mto ktkt ya SGR A na rel ya zaman sasa hapa drainagesystem ipo wap au watatumia pump maana maji yanatabia ya kupenya chin ya ardh na kuanza kudhoofisha mchanga kisha changa likashuka lote au ndio ile ahadi ya kutuletea mto imekamilika mtuambie

Nawasilisha
Pokeeni Mto Mkuu.
Muwe Mnashukuru hata kwa kidogo
 
bado hujaeleza kwann itakamilika 2090
Poor plan, hamna drainage system. Itabidi wavunje waanze na moja maana kama ikija mvua kubwa maji mengi yatakaa katikati ya SGR na reli ya zamani yatapenya c
Mkuu kuna siku jpm alipanda treni kupitia reli hiyo ya sgr wakati anakagua maendeleo yake.. na tumeambiwa kipande cha Dar Moro kimekamilika zaidi ya asilimia 90 leo wewe unasema hakuna reli ni msingi tu?
Nenda kajionee maajabu
 
Mkuu kuna siku jpm alipanda treni kupitia reli hiyo ya sgr wakati anakagua maendeleo yake.. na tumeambiwa kipande cha Dar Moro kimekamilika zaidi ya asilimia 90 leo wewe unasema hakuna reli ni msingi tu?
Kagua na ujiridhishe kama ni 90%, utacheka uzimie aisee
 
[emoji3166]
7-1-scaled.jpg
 
Leo nimeenda kule chin kuchek ule mradi nimebak nashangaa tu yaan huu mrad mtasubir sn wamemwaga hardcore alafu baadh ya maeneo ardh imeinuliwa ivo kutengeneza mto ktkt ya SGR A na rel ya zaman sasa hapa drainagesystem ipo wap au watatumia pump maana maji yanatabia ya kupenya chin ya ardh na kuanza kudhoofisha mchanga kisha changa likashuka lote au ndio ile ahadi ya kutuletea mto imekamilika mtuambie

Nawasilisha
Sisiyemu woyeeeee, mitano mingine please
 
Weka picha tuone
 
Kila boda boda akipigwa faini ya elf 30 mbona huo mradi mpaka Moro unamalizika mwaka huu, kwenye magari tushachukua bil.1 kuanzia tar.20 mpaka leo na bado tunaendelea kuzikusanya.
 
Leo nimeenda kule chin kuchek ule mradi nimebak nashangaa tu yaan huu mrad mtasubir sn wamemwaga hardcore alafu baadh ya maeneo ardh imeinuliwa ivo kutengeneza mto ktkt ya SGR A na rel ya zaman sasa hapa drainagesystem ipo wap au watatumia pump maana maji yanatabia ya kupenya chin ya ardh na kuanza kudhoofisha mchanga kisha changa likashuka lote au ndio ile ahadi ya kutuletea mto imekamilika mtuambie

Nawasilisha
Uhandisi ni taaluma hayo mambo waachie wahandisi wanajua, wewe shughulika na mambo yako ya chakula na lishe.
 
Kitu kama hukijui kaa kimya.... Wahandisi ndo wanaelewa mchakato wa ujenzi unavyofanyika.... Subiria uje upande treni tuuu... Siyo unabwabwaja hapa....
 
Back
Top Bottom