Baadhi ya maeneo yameinuliwa hivyo kutengeneza mto katikati ya SGR na reli ya zamani, hapa drainage system ipo wapi?

Baadhi ya maeneo yameinuliwa hivyo kutengeneza mto katikati ya SGR na reli ya zamani, hapa drainage system ipo wapi?

Leo nimeenda kule chin kuchek ule mradi nimebak nashangaa tu yaan huu mrad mtasubir sn wamemwaga hardcore alafu baadh ya maeneo ardh imeinuliwa ivo kutengeneza mto ktkt ya SGR A na rel ya zaman sasa hapa drainagesystem ipo wap au watatumia pump maana maji yanatabia ya kupenya chin ya ardh na kuanza kudhoofisha mchanga kisha changa likashuka lote au ndio ile ahadi ya kutuletea mto imekamilika mtuambie

Nawasilisha
Sasa akibadili katiba Hadi ukamilike mradi means msoto ni Hadi 2090
 
KILA ajae uja na mamiradi yake na kutelekeza ya mtangulizi yake Ili kupiga 20% mradi wa gas uliokula matilioni sababu hauna 10% ukaachwa,si ajabu ajae nae akaitekeleza SGR na bwawa akaanza na yake.Nchi imekuwa Kama kiwanda cha kinyozi KILA ajae huja na lake na kuondoka,akituachia furushi la ufukara.
 
Mkuu kuna siku jpm alipanda treni kupitia reli hiyo ya sgr wakati anakagua maendeleo yake.. na tumeambiwa kipande cha Dar Moro kimekamilika zaidi ya asilimia 90 leo wewe unasema hakuna reli ni msingi tu?
Na ww shangaa kama mm hivi HA
 
Uhandisi ni taaluma hayo mambo waachie wahandisi wanajua, wewe shughulika na mambo yako ya chakula na lishe.
Naona mama ntilie umekuja usione tunakunywa apo bandan kwako ukajua ndio ushatujua mm mtu akiniuliza unafanya kaz wap namjibu sina kaz
 
Kitu kama hukijui kaa kimya.... Wahandisi ndo wanaelewa mchakato wa ujenzi unavyofanyika.... Subiria uje upande treni tuuu... Siyo unabwabwaja hapa....
Unajua ww akili zako ndogo sn mm ni engineer ebu nikuulize swali pale jangwan ile barabara ilijengwa na nan !? Mbona maji yanajaa kila mvua ikinyesha saiz wameanzq kuvhimba kina kiwe kirefu
 
Mkuu kuna siku jpm alipanda treni kupitia reli hiyo ya sgr wakati anakagua maendeleo yake.. na tumeambiwa kipande cha Dar Moro kimekamilika zaidi ya asilimia 90 leo wewe unasema hakuna reli ni msingi tu?
Tumeambiwa mangapi? Tumeshaambiwa sisi ni dona kantri, tulishaambiwa tutapata Noa kila mtu from makanikia, tulishaambiwa kila kijiji kitapata milioni 50... etc etc etc
 
Huu uzi ni kwa CIVIL ENGINEER tu we kaa pembeni kama vipi sema mitano tena kisha tulia
Hapa mdau anaongelea kitaalamu tuache ushabiki wa siasa njoo na point zako jenga hoja kama huezi kaa kimya au nenda fb huko.
 
Unajua ww akili zako ndogo sn mm ni engineer ebu nikuulize swali pale jangwan ile barabara ilijengwa na nan !? Mbona maji yanajaa kila mvua ikinyesha saiz wameanzq kuvhimba kina kiwe kirefu
Tuliza mshono wewe...... Vitu kama si fani yako usikurupukie....jinga wewe...
 
Portugal is not a developed country it is actually a second world country.
Turkey is another second world country.
We sourced engineers from these two countries.
Nadhani ma engineer kutoka University of Dar es Salaam wakikaa mbali na beer, nyamachoma na wanawake wangeweza kufanya Jambo zuri zaidi na reli ingeshakua tayari. Imagine tangu 2017 kipande Cha kilomita 200 bado hakijakamilika?
Je wangepewa Dar Mza si ingetuchukua mpaka awamu ya Saba....
 
Back
Top Bottom