Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Sasa akibadili katiba Hadi ukamilike mradi means msoto ni Hadi 2090Leo nimeenda kule chin kuchek ule mradi nimebak nashangaa tu yaan huu mrad mtasubir sn wamemwaga hardcore alafu baadh ya maeneo ardh imeinuliwa ivo kutengeneza mto ktkt ya SGR A na rel ya zaman sasa hapa drainagesystem ipo wap au watatumia pump maana maji yanatabia ya kupenya chin ya ardh na kuanza kudhoofisha mchanga kisha changa likashuka lote au ndio ile ahadi ya kutuletea mto imekamilika mtuambie
Nawasilisha
Upinzani umekufa Ili ccm ilete maendeleoLini tutaanza kukarabati makao yetu makuu pale ufipa kamanda?
Na ww shangaa kama mm hivi HAMkuu kuna siku jpm alipanda treni kupitia reli hiyo ya sgr wakati anakagua maendeleo yake.. na tumeambiwa kipande cha Dar Moro kimekamilika zaidi ya asilimia 90 leo wewe unasema hakuna reli ni msingi tu?
Mbona dogo kaeleza tu vizuri? Sema kichwa chako cha panzi ndio maana unashindwa kuelewa!Hata sijui una haraka gani?!!
Aliyekuelewa naomba anijuze.
Kumbe?Upinzani umekufa Ili ccm ilete maendeleo
Naona mama ntilie umekuja usione tunakunywa apo bandan kwako ukajua ndio ushatujua mm mtu akiniuliza unafanya kaz wap namjibu sina kazUhandisi ni taaluma hayo mambo waachie wahandisi wanajua, wewe shughulika na mambo yako ya chakula na lishe.
Hardcore ni aina ya ponoEbu niambie hardcore au drainage system manake nini? Ukiona huelewi kitu jua uzi si wako subiri maengineer waje
Unajua ww akili zako ndogo sn mm ni engineer ebu nikuulize swali pale jangwan ile barabara ilijengwa na nan !? Mbona maji yanajaa kila mvua ikinyesha saiz wameanzq kuvhimba kina kiwe kirefuKitu kama hukijui kaa kimya.... Wahandisi ndo wanaelewa mchakato wa ujenzi unavyofanyika.... Subiria uje upande treni tuuu... Siyo unabwabwaja hapa....
CCM oyee yaan usingejibu hv ningeshangaaHardcore ni aina ya pono
Mitano tenaCCM oyee yaan usingejibu hv ningeshangaa
Tumeambiwa mangapi? Tumeshaambiwa sisi ni dona kantri, tulishaambiwa tutapata Noa kila mtu from makanikia, tulishaambiwa kila kijiji kitapata milioni 50... etc etc etcMkuu kuna siku jpm alipanda treni kupitia reli hiyo ya sgr wakati anakagua maendeleo yake.. na tumeambiwa kipande cha Dar Moro kimekamilika zaidi ya asilimia 90 leo wewe unasema hakuna reli ni msingi tu?
Hapa mdau anaongelea kitaalamu tuache ushabiki wa siasa njoo na point zako jenga hoja kama huezi kaa kimya au nenda fb huko.Huu uzi ni kwa CIVIL ENGINEER tu we kaa pembeni kama vipi sema mitano tena kisha tulia
Tuliza mshono wewe...... Vitu kama si fani yako usikurupukie....jinga wewe...Unajua ww akili zako ndogo sn mm ni engineer ebu nikuulize swali pale jangwan ile barabara ilijengwa na nan !? Mbona maji yanajaa kila mvua ikinyesha saiz wameanzq kuvhimba kina kiwe kirefu