Baadhi ya mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne ya Dkt. Jakaya Kikwete (Sehemu ya 1)

HUDUMA YA AFYA:
ikiwemo kuendeleza huduma ya afya imekua mojawapo wa mambo muhimu tuliyoyapata, tumekamulisha pia maendeleo ya afya ya msingi (MMAM) ambayo matarajio yetu ni kuutelekeza katika mwaka ujao wa fedha au unaofwata .

Una akili kweli?

Mmeshindwa 'kuendeleza' huduma..sorry, kuanzisha huduma bora za Afya kwa miaka zaidi ya thelathini then unategemea mtafanya mwaka ujao wa fedha? Kutakuwa na tofauti gani na miaka iliyopita? Hivi unajua hata mwaka ujao wa fedha unaanza lini?

Unaweza kuboresha hili katika family level(kwenye huo mwaka ujao wa fedha), lakini si National level kwasababu hamtashika dola mwaka huu wa uchaguzi.
 
Kuombaomba misaada nje ni ubunifu jasiri pia Kama nchi. Kuruhusu uchumi wa nchi umilikiwe na familia wachache si haba. Visasi kwa wwanaotofautiana nawe keeling ubunifu mahiri. Usanii wa uongozi naam! Kama wa kuifagilia rasimu na kuiponda kwa hila....
 

Daaa ipo sawasawa
 

Dah wewe ni muungwana sana mpaka umeyaona hayo yote.
 

Dah wewe ni muungwana sana mpaka umeyaona hayo yote.
 
Hatutaki kusikia upuunzi wa ccm tena. Kazi waliyofanya haijafika hata 70% ya targets waliotakiwa wafikie, sasa tuipongeze kwa lipi!? Wao wasubiri tuwapunzishe october
 
juzi nilienda hospitali....nikambiwa nikanunue dawa......hivi hayo mafanikio ni kwetu sis wananchi au voongoz wa ccm???
 
mkulima wa kiteto we umevurugwa hahaha kibaya mjini tu mnatumia maji ya chumvi tena yana matope bado unaona mafanikio??
 
Hatutaki kusikia upuunzi wa ccm tena. Kazi waliyofanya haijafika hata 70% ya targets waliotakiwa wafikie, sasa tuipongeze kwa lipi!? Wao wasubiri tuwapunzishe october

sio70% hata 30% hawajafikia
 
Ngoja wanywa viroba na wabwia ugolo watakavyokuja na mitusi, fact hawa kazi mitusi tu

CCM mnapenda sana kuwatukana Watanzania na kuwadharau namna hii halafu bado mnahitaji kura zao.
 

Ni kweli mkuu,umetoa hoja ya msingi sana,MAISHA YA WATANZANIA YANAZIDI KUWA MAGUMU HALAFU CCM WANATULAZIMISHA KUAMINI UONGO WAO.
 
Hawa ndio vibaraka wa CCM wanaogaiwa elfu 7 kila mmoja. HATUDANGANYIKI,KURA YETU NI KWA LOWASSA WA CHADEMA,UKAWA.
 
,
 
Kikwete kasoma lini PhD mpaka aitwe Doctor?
 
Kwenye Elimu, uchumi na Miundombinu JK atasalia kwenye historia miaka Mingi na ni Moja ya legacy zake..

Ni wapuuzi tuu ndio wlaikuwa wanasema hakuna kitu kafanya mara Ufisadi nk but tulitegemea Mwendazake alioingia angekomesha hao Mafisadi na Ufisadi matokeo yake akakwapua 1.5T zikafichwa China nk na wakala plea bargaining na wapuuzi wenzie huku walifanya propaganda ya Sgr and such nonsense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…