Baadhi ya magazeti yanakera sana kwa chuki zao za wazi

Kwani shida yako ni nini hasa? Maana kwa upande wangu, sijakuelewa kabisa.
 
Natumaini mko poa.

Leo nina furaha kuona msamaha alioombewa kiongozi wa upinzani kwa mheshimiwa Rais umekubalika na sasa Mr Mbowe yuko uraiani. Nimefurahi kusikia wamefanya mazungumzo na kuondoa tofauti zilizokuwepo huku kwa pamoja wakiahidi mbele ya uma kusimama kwenye haki. Ni jambo jema sana kwa nchi yetu.

Kwa sababu habari kubwa jana na leo ni kuhusu Mbowe na Mheshimiwa Rais basi ni wazi magazeti yote yangeipa uzito hii habari. Ingesaidia kuuhabarisha umma wenye shauku ya kujua zaidi pia habari kama hii kibiashara imekaa vizuri. Lakini nimesikitika sana kuona magazeti mawili ya Uhuru na lingine liitwalo wamachinga likichukulia ni habari ya kawaida isiyo na uzito.

Gazeti la Uhuru nimelitaja kwa makusudi kwasababu habari hii kubwa imemhusu mwenyekiti wa chama ambacho pia ndo wamiliki wa gazeti. Hii habari ingepewa uzito ingeiuza sana CCM ambayo kila leo inalaumiwa kuwa na roho mbaya. Wahariri wa hili gazeti wajue sio kila habari ikimhusisha mpinzani inatakiwa kupuuzwa. Nina uhakika gazeti la uhuru lina wasomaji wachache kwasababu ya mambo kama haya. Wahariri kama hawa ni mzigo kwa chama.

Gazeti la wamachinga ndo nimeshindwa hata nilizungumzieje. Nimeona ni jipya ambalo linatakiwa lifanye juhudi zaidi kupenya sokoni lakini inapita njia ileile ambayo ni ya kupunguza wasomaji (wateja). Hili gazeti ni la chama chetu?

Kama Mh Mbowe na Mama Samia walivyoongea jana ninawasihi watanzania wenzangu tufanye siasa za kubishana kwa hoja na sio chuki zisozoeleweka.

View attachment 2140114

View attachment 2140115
Muda ule wamekutana nadhani magazeti mengi yalikua tayari yamechapishwa kwahiyo ilikua ngumu kufanya tofauti!!...Saa 4 Usiku alafu Magazeti yanaanza kusafirishwa saa 5/6 Usiku!!.. anyway technology nayo kwetu bado mtihani
 
Safi sana CDF Mabeyo haiwezekani asamehewe gaidi mbowe alafu vijana wazalendo wa JKT waliojenga ukuta wa Mererani na Ikulu ya Dodoma waachwe wakiteseka mitaani
Nchi yenu ngumu kuelewa Alisamehewa Mbakaji na mlawiti wa watoto wenu Wadogo wa shule ya Msingi!!.. Mkashangilia wote
 
Mkuu hayo ni mambo ya uhuru wa maoni?
 
Safi sana CDF Mabeyo haiwezekani asamehewe gaidi mbowe alafu vijana wazalendo wa JKT waliojenga ukuta wa Mererani na Ikulu ya Dodoma waachwe wakiteseka mitaani
Bado 7ya
 
Mtoa mada kakurupuka hajui hilo uhuru maza aliliita kipeperushi, analidharau sana
 
Natumaini mko poa.

Leo nina furaha kuona msamaha alioombewa kiongozi wa upinzani kwa mheshimiwa Rais umekubalika na sasa Mr Mbowe yuko uraiani. Nimefurahi kusikia wamefanya mazungumzo na kuondoa tofauti zilizokuwepo huku kwa pamoja wakiahidi mbele ya uma kusimama kwenye haki. Ni jambo jema sana kwa nchi yetu.

Kwa sababu habari kubwa jana na leo ni kuhusu Mbowe na Mheshimiwa Rais basi ni wazi magazeti yote yangeipa uzito hii habari. Ingesaidia kuuhabarisha umma wenye shauku ya kujua zaidi pia habari kama hii kibiashara imekaa vizuri. Lakini nimesikitika sana kuona magazeti mawili ya Uhuru na lingine liitwalo wamachinga likichukulia ni habari ya kawaida isiyo na uzito.

Gazeti la Uhuru nimelitaja kwa makusudi kwasababu habari hii kubwa imemhusu mwenyekiti wa chama ambacho pia ndo wamiliki wa gazeti. Hii habari ingepewa uzito ingeiuza sana CCM ambayo kila leo inalaumiwa kuwa na roho mbaya. Wahariri wa hili gazeti wajue sio kila habari ikimhusisha mpinzani inatakiwa kupuuzwa. Nina uhakika gazeti la uhuru lina wasomaji wachache kwasababu ya mambo kama haya. Wahariri kama hawa ni mzigo kwa chama.

Gazeti la wamachinga ndo nimeshindwa hata nilizungumzieje. Nimeona ni jipya ambalo linatakiwa lifanye juhudi zaidi kupenya sokoni lakini inapita njia ileile ambayo ni ya kupunguza wasomaji (wateja). Hili gazeti ni la chama chetu?

Kama Mh Mbowe na Mama Samia walivyoongea jana ninawasihi watanzania wenzangu tufanye siasa za kubishana kwa hoja na sio chuki zisozoeleweka.

View attachment 2140114

View attachment 2140115
Usiku kuondolewa kesi ya Mbowe mahakamani ilikuwa ni ajenda
  1. sitting room na familia?
  2. dining table na familia?
  3. bedroom na mkeo/mmeo?
 
Muda ule wamekutana nadhani magazeti mengi yalikua tayari yamechapishwa kwahiyo ilikua ngumu kufanya tofauti!!...Saa 4 Usiku alafu Magazeti yanaanza kusafirishwa saa 5/6 Usiku!!.. anyway technology nayo kwetu bado mtihani
No kuachiwa kwa MBOWE kwa maelekezo ya DPP ni jambo la kawaida tu
 
Mleta mada lazima utakuwa ni mzee, bado unasoma gazeti la Uhuru!?
 
Back
Top Bottom