Baadhi ya magazeti yanakera sana kwa chuki zao za wazi

Kwani shida yako ni nini hasa? Maana kwa upande wangu, sijakuelewa kabisa.
 
Muda ule wamekutana nadhani magazeti mengi yalikua tayari yamechapishwa kwahiyo ilikua ngumu kufanya tofauti!!...Saa 4 Usiku alafu Magazeti yanaanza kusafirishwa saa 5/6 Usiku!!.. anyway technology nayo kwetu bado mtihani
 
Safi sana CDF Mabeyo haiwezekani asamehewe gaidi mbowe alafu vijana wazalendo wa JKT waliojenga ukuta wa Mererani na Ikulu ya Dodoma waachwe wakiteseka mitaani
Nchi yenu ngumu kuelewa Alisamehewa Mbakaji na mlawiti wa watoto wenu Wadogo wa shule ya Msingi!!.. Mkashangilia wote
 
Mkuu hayo ni mambo ya uhuru wa maoni?
 
Safi sana CDF Mabeyo haiwezekani asamehewe gaidi mbowe alafu vijana wazalendo wa JKT waliojenga ukuta wa Mererani na Ikulu ya Dodoma waachwe wakiteseka mitaani
Bado 7ya
 
Mtoa mada kakurupuka hajui hilo uhuru maza aliliita kipeperushi, analidharau sana
 
Usiku kuondolewa kesi ya Mbowe mahakamani ilikuwa ni ajenda
  1. sitting room na familia?
  2. dining table na familia?
  3. bedroom na mkeo/mmeo?
 
Muda ule wamekutana nadhani magazeti mengi yalikua tayari yamechapishwa kwahiyo ilikua ngumu kufanya tofauti!!...Saa 4 Usiku alafu Magazeti yanaanza kusafirishwa saa 5/6 Usiku!!.. anyway technology nayo kwetu bado mtihani
No kuachiwa kwa MBOWE kwa maelekezo ya DPP ni jambo la kawaida tu
 
Mleta mada lazima utakuwa ni mzee, bado unasoma gazeti la Uhuru!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…