Baadhi ya majina humu JF are very interesting πŸ˜‚

Nilitaka kufanya hivyo wakati mwanzo ikashindikana, nilikuwa sijakidhi vigezo vya jeiefu, ila kwa sasa nishalizoea hili jina na lishazoeleka pia, kwahiyo siwazi tena kufanya hivyo.
Mkuu tukiachana na jokes umasikini ni laana.. hupaswi kuutumia Hilo jina hum! Kiroho Kuna nguvu unajipunguzia bila kujijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…