Baadhi ya majina ya Kisukuma na maana zake

Duuh kuna Wasukuma wanaitwa Nsaji?
Hili jina si la Kinyakyusa....
 
Nsaji ni kifupisho cha Nsajigwa, maana ake ni mbarikiwa kwa kinyakyusa
Mkuu hyu mleta mada kaandika eti Nsaji ni la Kisukuma maana yake ni mwehu/kichaa ndio maana nimeuliza

Ipi tofauti ya Nsajigwa na Nsajile?
 
Mkuu hyu mleta mada kaandika eti Nsaji ni la Kisukuma maana yake ni mwehu/kichaa ndio maana nimeuliza

Ipi tofauti ya Nsajigwa na Nsajile?
Nsajigwa ni mtu aliyebarikiwa, Nsajile yaani nimebariki
 
Siyo kila uliloandika hapa ni majina yetu.kuna mengine ni usemi tu na siyo majina
 
We jamaa unapenda malugha magumu magumu tu, ukiongea English basi lazima MTU akae na kamusi, kisukuma nacho ndio kigumu cha ndani huko kwakina mtemi cheyo na mwanamalundi...
Msalimie Alwatan...
 
We jamaa unapenda malugha magumu magumu tu, ukiongea English basi lazima MTU akae na kamusi, kisukuma nacho ndio kigumu cha ndani huko kwakina mtemi cheyo na mwanamalundi...
Msalimie Alwatan...
Hahaha,

Hujakutana na wataalam wenyewe wewe bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…