Baadhi ya majina ya Kisukuma na maana zake

Baadhi ya majina ya Kisukuma na maana zake

Uleho gash unene naledebha wachile
Oletaga mamihayo kebi mami, naleho, mamilemo doho.

Olemana twabizile banamhala gete, pye banegene na baniisale batolola bise. Twetaga mamilemo mami, kongono henaha mamihayo ga baswahili minge nno.
 
Abhanegene nabho bhakwicholela shabho
Oletaga mamihayo kebi mami, naleho, mamilemo doho.

Olemana twabizile banamhala gete, pye banegene na baniisale batolola bise. Twetaga mamilemo mami, kongono henaha mamihayo ga baswahili minge nno.
 
Abhanegene nabho bhakwicholela shabho
Tobizagi banamhala lolo ango?

Olo walola banegene bandya kopela matungo, baandya kodema hale gete gete ma Nasa geke, baandya koja ma Kayenze mu Nyanza kweta mamilemo, baandya ma bina na basumba batale, henaho omanile oleta wandijo kweta unhamala.

Ango mami?
 
Tuja-dharau
bunamhala-uzee
macoye-problem
mabula-rainfall,
maduhu-ma UCHI (nakedness)
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Leo nimeamua niwaletee majina ya kisukuma na maana zake

Naomba tuwe pamoja

MAYALA. Njaa huitwa wa kiume
NYANZALA. njaa huitwa wa kike
BUTOGWA. UPENDO /MAPENDO
MABULA. mvua huitwa wa kiume
KABULA. huitwa wa kike
NAKUTOGWILE. nakupenda
GWAJIMA. kuzima
BASHITE. mbishi/mtata
SHILEKI. KUACHWA
MAYILA. njia
WAPE. MWEUPE
NSHEKU. Soft handsome/beuty
WALWA. POMBE.
MAGUFURI. makufur.
MBITIYAZA. fisi mwekundu
MBITIYAPI. FISI MWEUS
WABHEJA. ASANTE
NAHENE. HAKUNA SHIDA
NGASA.......
MASANJA.....
NGUSA........
MAKOYE. MATATIZO/SHIDA
WAWIZA. MZURI
GETE GETE. SANA SANA TISHA ILE MBAYA KINOMA NOMA
MISOJI. MICHUZI
LUNANI NA MAKONDA.....
NSAJI. MWEHU/CHIZI
WELELO. DUNIA.
UKUJIWE. UTUKUZWE
WA IMWENE . WA KIPEKEE
YAYA. HAPANA
YAYA GETE . HAPANA KABISA

mengine muongeze naingia darasan mida mida mazee

LONDON BOY/BOY FROM LONDON
Waweja sana kwa elimu kwetu na kwa wengine, ni lugha ya tatu ya Taifa, wapende wasipende, ila ukweli wauma...
 
Majina yanayoendana na wakati.

Lemihagati - Mchana (Jua lipo katikati)
Bujiku - Usiku
 
Majina yanayoendana na wakati.

Lemihagati - Mchana (Jua lipo katikati)
Bujiku - Usiku

Makingilima - Alfajiri

Mindi/ Mhindi - jioni

Hii ‘mhindi’ haitamkwi kama Mhindi wa Uhindini. Inatamkwa kivingine kabisa.
 
Kushenena-the method of wiping ones buttholes after taking a shit by seating naked on the ground and move too and fro,using the sand on the ground as a toilet paper,
no swahili word for kushenena so far
 
Back
Top Bottom