Baadhi ya majina ya Kisukuma na maana zake

Baadhi ya majina ya Kisukuma na maana zake

Henaho wawelwa yombaga minze minge gete ga kong'wa, kongono, ole otong'wa maminze nolo mamilemo oteho kweta.

Aliiiii, ango? Lekaga kebi ja nya Darisalama ng'wanike, ahene aha okoyomba shisukuma doho.

Kongono o mami wakwo atamanile Shiswahili, o guku wakwo atamanile, okoyombaga nabwo kenehe?

Utizo eta mamihayo ga tuja henaha, okoyomba shisukuma doho!

Hahahahaaaahahahahahahaaaaaa Kirangaaa......

Unajua kuwa una Kiranga. ...!!! Acha uchokozi banaa..... ntakusemea kwa nani hii hehehehehehehehee.

Please translate what you said earlier in sukuma language into swahili cause if you translate into English I'll end up staying in the library whole day with all the thesaurus on my table trying to digest your translation and still ntatoka kapa.

Basi ukikataa kunitafsiria ntamuomba Nyani Ngabu anitafsirie.

Kasie Matata.
 
Hapana, mimi Msukuma wa Dar, tena kuna cousins wangu wa Mwanza wanakichapa zaidi yangu.

Ila mimi napenda sana lugha na nafuatilia, ndugu zangu waliokuwa hawajui Kiswahili vizuri nilitaka sana kuongea nao, nikajifunza Kisukuma cha kuongea kawaida nikaweza.

Sema vijana wa siku hizi hasa wa mjini, shobo nyingi, wanasahau mila, tamaduni, lugha.

Unanisifia Kisukuma kidogo tu hiki, wakija wenyewe hapa itakuwa shida.
Wakija wenyewe hapa sisi wasukuma wa mjin inabid tukajifiche kwanza
 
Hiyo Kabula si ni Jini hilo?
Jini ni yule dada mwigizaji lakin KABULA ni jina la kisukuma huyo dada muigizaji itakuwa naye ni jina lake hivyo aliamua kulipa promo
 
Aleho o Kabula henaha? Nolo Misoji? O Shija?
 
Back
Top Bottom