Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hapana, mimi Msukuma wa Dar, tena kuna cousins wangu wa Mwanza wanakichapa zaidi yangu.Dah wewe ni msukuma original kabisa
Ila mimi napenda sana lugha na nafuatilia, ndugu zangu waliokuwa hawajui Kiswahili vizuri nilitaka sana kuongea nao, nikajifunza Kisukuma cha kuongea kawaida nikaweza.
Sema vijana wa siku hizi hasa wa mjini, shobo nyingi, wanasahau mila, tamaduni, lugha.
Unanisifia Kisukuma kidogo tu hiki, wakija wenyewe hapa itakuwa shida.