Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
- Thread starter
- #121
Ilikuwa ni wap huko mzeeShileki...umenkumbusha huyu madam wangu enzi hizo...alikuaga bonge la beautiful, yan alkuaga akiingia class nkua cmwelew maana mawazo yangu yalkua yanahama ghafla....too bad nlhama bila kumwambia feelings zangu,na hadi leo cjui whereabouts zake,madam Shileki kama upo humu know that Nilikupendaga saaana bas 2 nlkuaga domo zege enz hizo za O'level