Baadhi ya majina ya Kisukuma na maana zake

Baadhi ya majina ya Kisukuma na maana zake

Pamoja mkuu.
Sisi nyumbani tulikuwa tunatwanga Kisukuma tupu.

Halafu wanakuja binamu kutoka Ng'wanza wanataka kuja kuona bahari Dar uwapeleke, hata Kiswahili hawajui, halafu wenyewe wanafikiri kila mtu lazima awe anajua Kisukuma.

Wanakuongelesha bila kujali unajua au hujui.

Hapo lazima ujue kwa lazima tu.
 
Sijasema 'shikamoo' nimesema 'shihamo' Kasie be carefully.

Hahahahahaa nami sikusema Marahaba nilisema Maahaabaa

Mjuni read with eyes open widely....

Am kidding bana natania, nilijua hukumaanisha shikamoo but I just chip in that joke. If it bores you sorry for that.

Halafu nashukuru kwa kunipa maana ya jina Limi nimeelewa kwanini waliamua kunipa hilo jina.
 
Kasie relax, I dont get bored easily. Kumbe wewe ndio Limi mwenyewe?! Hongera.

Back
Top Bottom