Baadhi ya majina ya Kisukuma na maana zake

Baadhi ya majina ya Kisukuma na maana zake

Tuendelee..twaomba (mkiweza) tipatieni maana ya majina haya (kwa Kisukuma, kama ipo).
A: Masesa, Sayi, sayayi, Shighela, Shilangila, Ngemela, Shigheo, Kashindye, Matulanya, Masuka, Lupondije, Lubigisa, Malugu, Ngh'waya, Ngh'wanaKilala, Ngh'wanangwa, Ngh'winamila, Ngh'wisheni, Nhende, Lulyalya, Luli.
B: Majina ya maeneo mbalimbali (je yana maana yoyote)?
Buselesele, Buyagu, Bukwimba, Kwimba, Gahama (Kahama), Geta (Geita), Maswa, bariadi, kayenze, Kakola, Nyasaka, Nyarubere, Buyagu, kafita, Kharumwa, Nyangh'wale, Nyangh'olongo, Sengerema, Busanda, Busega, Nyamtukuza, Ntobo, Nzega, isasi, Bukumbi (Bukombe), Lunguya, Bukoli, Bunakoba, Shilabela, Lyulu (Lyolo), Kasamwa (Kasanghwa)...nk.
 
Mpangachu.....Haugui kipindi cha kiangazi
Ntogwachu .....anapenda kiangazi
Masanja ... Kiunganishi/Muunganishaji
Ngulyati ... Beberu la mbuzi.
Shimba .... Simba
Shikolo .... Vitu
Sabho ....Mali
Jisabho ... Kibuyu
 
Mpangachu.....Haugui kipindi cha kiangazi
Ntogwachu .....anapenda kiangazi
Masanja ... Kiunganishi/Muunganishaji
Ngulyati ... Beberu la mbuzi.
Shimba .... Simba
Shikolo .... Vitu
Sabho ....Mali
Jisabho ... Kibuyu
Lushimbe?
Lushindo?
 
Saguda...
Mihangwa...aliyetabiliwa
Luhaga....
Mashimba.....
Luhende...
Magembe...
Masunga....
Magaya....
Mwigulu/Ngw'igulu
Ngassa....
Kombe...
Makula....
Malunde....mawingu
Nchilu........mwenye hasira
Masele.....
Makonda.....
 
Pereira Gum
Steve Job
Daley Blind
Dean Whitehead
Razvan Rat
Danny Drinkwater
Argélico Fucks
Fabian Assman
Danny Invincible

 
Back
Top Bottom