Baadhi ya majina ya Kisukuma na maana zake

Baadhi ya majina ya Kisukuma na maana zake

Nyanda ......Mvulana
Ngosha ....... Mwanaume
Mashiku ......Siku nyingi
Mang'ombe ....Ng'ombe
Manumbu .....Viazi
Manumba.....Nyumba
Ng'wanza (Mwanza) ......Kitu kilichosambaa (tandiko or tandika or kusambaa)
Ng'wandu (Mwandu) ..... Mbuyu
Nyanza ......Ziwa
Mayanga (Mayenga) ..... Matatizo au Majanga
Nsumba ..... Mvulana anayepevuka
Bhujiku (Bujiku) .....Usiku
Lemi .....Mchana
Lemihagati .....Mchana
Isanzu .....Mti wenye miiba
Makoye .....Matatizo
Malendeja ...kichelewasho
Kidola ......Muweza (kutoboa au kuweza kutenda kitu.
Shiika (Shika).....Shuka (Kitu kilichoshuka)
Lunyalula...... kuhuisha
LUIS SHIKA KID a.k.a. Lunyalula Shika Kidola
Nziku (Maziku/Mayiku) .....Maksai
Ndebhile ..... Njiti
Mhoja ..... Kitulizo (mtoto anayezaliwa kufuatia mtoto alofariki mama akijifungua)
 
Tunaendelea: 1. Minghwa=Miiba, 2. Lubango=Huruma (za Mungu), 3. Malogolo/Malugulu=Milima, 4. Shija=Mtoto aliye zaliwa akifuatia Mapacha, 5. Mihayo=Maneno, 6. Banhya=Wachumba, 7. Wangeleja=Waingereza, 8. Mabina (wa kiume) =Ngoma. 9. Nyambina (wa kike)= Ngoma. 10. Mashimba= Simba. Kama unaelewa, leta maana ya majina yafuatayo: 1. Shindika, 2, Sholo, 3. Kulola, 4. Shilikale, 5. Mihangwa, 6. Hangwa, 7. Jilala, 8. Maganga, 9. Magadula, 10. Madata.
 
Acha upumbavu wewe jamaa...... ficha upumbavu wako.....

Southgate
Singletone
Bush
Trump
Walker

Au kwa vile haujui kizungu cha Malkia Elizabet
Hahahahaaa! Weye ndiyo kapuuzi kwelikweli. Hao ni watani wangu. Usikurupuke kama ushuzi wa ngomani utakwama.Eti kiingereza cha malkia "Lisabeta"!
 
Back
Top Bottom