Baadhi ya majina ya Kisukuma na maana zake

Baadhi ya majina ya Kisukuma na maana zake

Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Leo nimeamua niwaletee majina ya kisukuma na maana zake

Naomba tuwe pamoja

MAYALA. Njaa huitwa wa kiume
NYANZALA. njaa huitwa wa kike
BUTOGWA. UPENDO /MAPENDO
MABULA. mvua huitwa wa kiume
KABULA. huitwa wa kike
NAKUTOGWILE. nakupenda
GWAJIMA. kuzima
BASHITE. mbishi/mtata
SHILEKI. KUACHWA
MAYILA. njia
WAPE. MWEUPE
NSHEKU. Soft handsome/beuty
WALWA. POMBE.
MAGUFURI. makufur.
MBITIYAZA. fisi mwekundu
MBITIYAPI. FISI MWEUS
WABHEJA. ASANTE
NAHENE. HAKUNA SHIDA
NGASA.......
MASANJA.....
NGUSA........
MAKOYE. MATATIZO/SHIDA
WAWIZA. MZURI
GETE GETE. SANA SANA TISHA ILE MBAYA KINOMA NOMA
MISOJI. MICHUZI
LUNANI NA MAKONDA.....
NSAJI. MWEHU/CHIZI
WELELO. DUNIA.
UKUJIWE. UTUKUZWE
WA IMWENE . WA KIPEKEE
YAYA. HAPANA
YAYA GETE . HAPANA KABISA

mengine muongeze naingia darasan mida mida mazee

LONDON BOY/BOY FROM LONDON
MACHIBYA The over thrower! Hawa ni wale waliokuwa wanafanya timing enzi za utemi, anachukua utemi kwa kupmpindua mtemi aliyepo na anachukua yeye
 
Uti okonyela ngalu, ulishitimba shisukuma sha mgati gete sha bhanamhala bha kale, Uti wa kwigushija.
Aleyo olo wakala na banamhala, olo wigeshaga nabo gete gete, olo waboneka nabho, mamihayo gabho wutungilija gete kumoyo, olo waleka nyachilochilo, olo waleka ishibi, olo weta bunyalali gete, wokobiza mno wa masala gete.

Ateho mno kukuwela wetaga kebi.

Kongono ole mno wa masala.

Hange olo wetaga kebi, ekobiza kongono mamunho mange getaga kebi kutangolega kwakwo.

Eteho kebi ya kutotwangweleja kwenako.

Pye mamihayo nyalali. Pye mamihayo gaaganikwa ko maaganiko nalibona gate na kebi gete.

Kongono nosoma, mamihayo ga kaya na ga bazungu.

Natogwile kosoma, kongono henaho okomanya mamihayo minge. Okobiza namhala wa nyalali.
 
Kiranga bhana sikuwezi, unaandika kisukuma cha zamani mno cha wazee wa kale, neno kama "kuboneka"' yaani kula, na bhunyalali, wema/uzuri" wasukuma wa miaka hii hawatumii, naanza kudauti inawezekana wewe ni muhenga.

Sisi nyumbani tulikuwa tunatwanga Kisukuma tupu.

Halafu wanakuja binamu kutoka Ng'wanza wanataka kuja kuona bahari Dar uwapeleke, hata Kiswahili hawajui, halafu wenyewe wanafikiri kila mtu lazima awe anajua Kisukuma.

Wanakuongelesha bila kujali unajua au hujui.

Hapo lazima ujue kwa lazima tu.
 
Saguda...
Mihangwa...aliyetabiliwa
Luhaga....
Mashimba.....
Luhende...
Magembe...
Masunga....
Magaya....
Mwigulu/Ngw'igulu
Ngassa....
Kombe...
Makula....
Malunde....mawingu
Nchilu........mwenye hasira
Masele.....
Makonda.....
Mwigulu MBIGUNI
 
Back
Top Bottom