MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
gheko shi!Salama pia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gheko shi!Salama pia!
gheko shi!
nzogo duhu wilange ngosha!...(njoo tu ujifunze ...Hehehe mkuu! Itabidi unipe twisheni ili nami niweze ku-react kwenye comment zako kwa kisukuma!
nzogo duhu wilange ngosha!...(njoo tu ujifunze ...
hahahah karibuAisee, shukrani madame!
Ngoja nikitengee siku hiki kisukuma nisije nikachomoka ulimi bure kwa njaa!
hahahah karibu
Wabheja Kotoghwa Wagh'wise!Wabheja.
Wabheja Kotoghwa Wagh'wise!
Ishi! Tu maneno twangu tudogo twa Kisukuma tumekukumbusha mbali! Nimeyegha!anyways, nimemkumbuka tuu vituko vyake baada ya kusoma maneno yako ya kisukuma. Igholoo.
Bhebhe ngosha nang'ho ete Kumalija lina lenelo legitanagwa Ghumalija.KUMALIJA?
NG'WANAKWANGU ?
Hiiiiii, uleyomba'ke Ghoko? Ngh'welage! Anshol'O'Nangi!Hiiiii bhebhe Ngh'wigh'wana ilangage getegete douyoushitola shamkaya nkoyi
Giki alina tuja gashiBebe nag'ho lekaga mamihayo ga nchilochilo.
Olemana nakobizaga nlangi wa mang'ingwana gakokaya gete?
Hagayaaa.Lekaga etuja jenejo.
Olemana mamihayo ga kuwawela banho geke "obise tole batemi ba se yeneye" gate mamihayo ga wiza.Giki alina tuja gashi
@mbitiyaza maana yake nini?Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Leo nimeamua niwaletee majina ya kisukuma na maana zake
Naomba tuwe pamoja
MAYALA. Njaa huitwa wa kiume
NYANZALA. njaa huitwa wa kike
BUTOGWA. UPENDO /MAPENDO
MABULA. mvua huitwa wa kiume
KABULA. huitwa wa kike
NAKUTOGWILE. nakupenda
GWAJIMA. kuzima
BASHITE. mbishi/mtata
SHILEKI. KUACHWA
MAYILA. njia
WAPE. MWEUPE
NSHEKU. Soft handsome/beuty
WALWA. POMBE.
MAGUFURI. makufur.
MBITIYAZA. fisi mwekundu
MBITIYAPI. FISI MWEUS
WABHEJA. ASANTE
NAHENE. HAKUNA SHIDA
NGASA.......
MASANJA.....
NGUSA........
MAKOYE. MATATIZO/SHIDA
WAWIZA. MZURI
GETE GETE. SANA SANA TISHA ILE MBAYA KINOMA NOMA
MISOJI. MICHUZI
LUNANI NA MAKONDA.....
NSAJI. MWEHU/CHIZI
WELELO. DUNIA.
UKUJIWE. UTUKUZWE
WA IMWENE . WA KIPEKEE
YAYA. HAPANA
YAYA GETE . HAPANA KABISA
mengine muongeze naingia darasan mida mida mazee
LONDON BOY/BOY FROM LONDON
Kuna ndugu zetu Wasukuma walikuwa wanakuja nyumbani Dar.Umenikumbusha msukuma mmoja hivi, ni mchokozi mchokozi na huwa tunataniana sana. Tunaweza kuwa tunaongea tuu kawaida halafu ghafla anaanza kuningelesha kisukuma tena kie cha ndani huku ananitazama usoni. Sasa mie hata sielewi namwambia wee vipii, maruhani yashapanda? anazidi niongelesha kisukuma tuu basi mie nacheka hadi mbavu zinauma ....
Nimemkumbuka tuu, leo ameniambia kuwa mie ndo kichocheo chake cha yeye kuwa mchokozi, jana aliniambia mie navuta bangi hehehehee nilifanya kituko flani hivi.... anyways, nimemkumbuka tuu vituko vyake baada ya kusoma maneno yako ya kisukuma.
Igholoo.
Umenikumbusha msukuma mmoja hivi, ni mchokozi mchokozi na huwa tunataniana sana. Tunaweza kuwa tunaongea tuu kawaida halafu ghafla anaanza kuningelesha kisukuma tena kie cha ndani huku ananitazama usoni. Sasa mie hata sielewi namwambia wee vipii, maruhani yashapanda? anazidi niongelesha kisukuma tuu basi mie nacheka hadi mbavu zinauma ....
Nimemkumbuka tuu, leo ameniambia kuwa mie ndo kichocheo chake cha yeye kuwa mchokozi, jana aliniambia mie navuta bangi hehehehee nilifanya kituko flani hivi.... anyways, nimemkumbuka tuu vituko vyake baada ya kusoma maneno yako ya kisukuma.
Igholoo.
Dah wewe ni msukuma original kabisaOlemana mamihayo ga kuwawela banho geke "obise tole batemi ba se yeneye" gate mamihayo ga wiza.
Kongono nolo wale wayomba mamihayo ga nzaha doho, galeko mang'ing'wana gakwiganika ote nzaha.
Ehaha nolo o ntemi wise wayomba "nampandeka mamilemo matale gete o Kiranga, kongono ale na masala gete ng'ingwana mwenuyu, alemana masala matale gete", galeho mamnho gakohaya o Kiranga wapandeka mamilemo genayo kongono Nsukuma.
Tutizo eta mamihayo ga kupandeleja maganiko sagala.