Baadhi ya majina ya Kisukuma na maana zake

Dah wewe ni msukuma original kabisa
Hapana, mimi Msukuma wa Dar, tena kuna cousins wangu wa Mwanza wanakichapa zaidi yangu.

Ila mimi napenda sana lugha na nafuatilia, ndugu zangu waliokuwa hawajui Kiswahili vizuri nilitaka sana kuongea nao, nikajifunza Kisukuma cha kuongea kawaida nikaweza.

Sema vijana wa siku hizi hasa wa mjini, shobo nyingi, wanasahau mila, tamaduni, lugha.

Unanisifia Kisukuma kidogo tu hiki, wakija wenyewe hapa itakuwa shida.
 
Kuna ndugu zetu Wasukuma walikuwa wanakuja nyumbani Dar.

Yani kuna wengine hawamini kwamba kuna mtu hajui Kisukuma.

Wanakuongelesha mfululizo mpaka unakijua tu.

Tojage eng'hwani lolo ango. Olemana nalehaya kolola e Nyanza ya ngh'wani kwenuku.

Hapo mtu hajawahi kuona bahari anakulalamikia umpeleke beach, mpaka utaelewa tu.

Hahahahaaa Kiranga na wewe ni mchokozi eeeh. Hiyo ya wao kuongea kilugha hadi wewe unajua kuna bibi yangu mmoja upande wa mama alikuwa anasema hivohivo kuwa mtu ukitaka kujua lugha kukaa au kuishi na wanaojua hiyo lugha na wao hawajui kiswahili au kiingereza. Baada ya muda unajikuta unajua tuu hiyo lugha maana huwezi kuwa bubu. Ukitaka maji halafu hujui kwa kilugha ili akuelewe unaonesha uhitaji wa maji kwa vitendo. Kisha anakwambia kwa kilugha kuwa siku ingine ukitaka maji useme (anakutajia kwa kilugha).

Sasa uchokozi wako Kiranga ni hapo uliponiandikia maneno ya kisukuma..... naomba nitafsirie tafadhali hapo uliponiandikia kwa kisukuma maana nimetoka kapaa.
Hivi nikitaka kusema tafadhali kwa kisukuma nasemaje? Hehehehehehe naomba darasa kidogo looh.
 
Hahahaaaa! Just hahahahaaaa!

Shout out kwa huyo Msukuma...

Hehehehehehehehee just hehehehehehehehehehehe! !

The shout has been aired....... wuuhuuuuuuu
Hahahahahahhahahahahahahaaa.

Kasie Matata.
 
Hahahahaaa Kiranga na wewe ni mchokozi eeeh. Hiyo ya wao kuongea kilugha hadi wewe unajua kuna bibi yangu mmoja upande wa mama alikuwa anasema hivohivo kuwa mtu ukitaka kujua lugha kukaa au kuishi na wanaojua hiyo lugha na wao hawajui kiswahili au kiingereza. Baada ya muda unajikuta unajua tuu hiyo lugha maana huwezi kuwa bubu. Ukitaka maji halafu hujui kwa kilugha ili akuelewe unaonesha uhitaji wa maji kwa vitendo. Kisha anakwambia kwa kilugha kuwa siku ingine ukitaka maji useme (anakutajia kwa kilugha).

Sasa uchokozi wako Kiranga ni hapo uliponiandikia maneno ya kisukuma..... naomba nitafsirie tafadhali hapo uliponiandikia kwa kisukuma maana nimetoka kapaa.
Hivi nikitaka kusema tafadhali kwa kisukuma nasemaje? Hehehehehehe naomba darasa kidogo looh.
Henaho wawelwa yombaga minze minge gete ga kong'wa, kongono, ole otong'wa maminze nolo mamilemo oteho kweta.

Aliiiii, ango? Lekaga kebi ja nya Darisalama ng'wanike, ahene aha okoyomba shisukuma doho.

Kongono o mami wakwo atamanile Shiswahili, o guku wakwo atamanile, okoyombaga nabwo kenehe?

Utizo eta mamihayo ga tuja henaha, okoyomba shisukuma doho!
 
Hahaha, tunajikumbushia kumbushia, sio keshokutwa unatembelea wazee Kisukuma kumepotea lafudhi.
Hasaa. Eti unaongea Chisukuma na lafudhi za Kiswahili (na pengine Kiingereza). Hii siyo nzuri Mmami!
 
Hapana, mimi Msukuma wa Dar, tena kuna cousins wangu wa Mwanza wanakichapa zaidi yangu.

Ila mimi napenda sana lugha na nafuatilia, ndugu zangu waliokuwa hawajui Kiswahili vizuri nilitaka sana kuongea nao, nikajifunza Kisukuma cha kuongea kawaida nikaweza.

Sema vijana wa siku hizi hasa wa mjini, shobo nyingi, wanasahau mila, tamaduni, lugha.

Unanisifia Kisukuma kidogo tu hiki, wakija wenyewe hapa itakuwa shida.
Nhamhala ong'wani
 
Kenehe Nsumba Ntale?

Abafumo bange wabamala elelo?

Tokobina ango?
Ndugu thabu gete nhamhala ong'wani

Nsumba ntale onzengo, akutun'gwa na banamhala kutwala masuku ng'wamabhanza kwingila kadashi nulu kabila.
 
Kiranga anazidi kugain momentum siku zinavyozidi kusonga mbele![emoji28][emoji28][emoji28].....namuona kwenye nyuzi mbalimbali sasa!!
 
Back
Top Bottom