nyanda madirisha
JF-Expert Member
- Apr 1, 2019
- 411
- 727
Ni mayalla siyo mayala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Luhaga ni jina apewalo mtu aliyefanya Jambo kubwa kwa kulazimisha/ujasiri mkubwaNini maana ya jina LUHAGA
Ndebile. Hata kama ni wa kike jina ni hilo tuMtoto wa kiume anayezaliwa kabla ya kutimiza miezi tisa anaitwaje?
Ni kuzuia kitu kisiangukie upande ule kiliouelemea, kwa kutumia nyenzo nyingine. Kwa mfano kuweka kitu kwenye sehemu ya ukuta unaoelekea kuanguka ili kitu hicho kiuzuie ukuta huo usianguke. Kufanya kivyo ni KUHAGA, na nayefanya kitendo cha KUHAGA ndiyo anaitwa LUHAGANini maana ya jina LUHAGA
Tofauti na luhajaNi kuzuia kitu kisiangukie upande ule kiliouelemea, kwa kutumia nyenzo nyingine. Kwa mfano kuweka kitu kwenye sehemu ya ukuta unaoelekea kuanguka ili kitu hicho kiuzuie ukuta huo usianguke. Kufanya kivyo ni KUHAGA, na nayefanya kitendo cha KUHAGA ndiyo anaitwa LUHAGA
Saguda47
Wewe leta inaonekana unajua maana ya hayo majina sisi wengine ma observer tu🤣🤣🤣Tunaendelea: 1. Minghwa=Miiba, 2. Lubango=Huruma (za Mungu), 3. Malogolo/Malugulu=Milima, 4. Shija=Mtoto aliye zaliwa akifuatia Mapacha, 5. Mihayo=Maneno, 6. Banhya=Wachumba, 7. Wangeleja=Waingereza, 8. Mabina (wa kiume) =Ngoma. 9. Nyambina (wa kike)= Ngoma. 10. Mashimba= Simba. Kama unaelewa, leta maana ya majina yafuatayo: 1. Shindika, 2, Sholo, 3. Kulola, 4. Shilikale, 5. Mihangwa, 6. Hangwa, 7. Jilala, 8. Maganga, 9. Magadula, 10. Madata.
Ngoja Luhaga mwenyewe aje akukute unaulizia maana ya jina lake😂😂Nini maana ya jina LUHAGA
Mashauli sio jina kusukuma kuna majina ambayo yaméingizwa KamaMASHAULI
Luhaga maana yake kibano/kibanio/kubanaNgoja Luhaga mwenyewe aje akukute unaulizia maana ya jina lake😂😂
Naomba maana yaLuhaga maana yake kibano/kibanio/kubana
Ifogong'ho--chama Cha kuweka na kukopa vicobaNaomba maana ya
Pia "mto/river" unaitwaje nimesahau.
- Ifogong'o
- Bhalengi
- Letungu/Litungu
- Nkwengwa
- Baba mkwe/mama mkwe(nipe kwa kisukuma)
Samahani mto/river ni "mongo" au nimekosea?
OK,nashukuru naona kama hii thread ingekuwa siyo ya majina bali ya kujifunza,nitachukua madini yatakayokuwa hapa kwa ajiri ya matumizi binafsi.Ifogong'ho--chama Cha kuweka na kukopa vicoba
Bhalingi -- manju watunzi wa nyimbo
3 letungu litungu hicho ni kikuilya no ngoma Yao
wasukuma wana litongo / hitongo ni sehemu ya shamba hasa ambapo palikua makazi na palikua pia na mifugo
4 kwengwa/nkwingwa --baba mkwe
5 baba mkwe -nkwingwa
Mama mkwe ---mayu buko/mayu bukwi
Sawa mto -- mongo
HANGAYAAman iwe nanyi wapendwa katika bwana.
Leo nimeamua niwaletee majina ya kisukuma na maana zake
Naomba tuwe pamoja
MAYALA. Njaa huitwa wa kiume
NYANZALA. njaa huitwa wa kike
BUTOGWA. UPENDO /MAPENDO
MABULA. mvua huitwa wa kiume
KABULA. huitwa wa kike
NAKUTOGWILE. nakupenda
GWAJIMA. kuzima
BASHITE. mbishi/mtata
SHILEKI. KUACHWA
MAYILA. njia
WAPE. MWEUPE
NSHEKU. Soft handsome/beuty
WALWA. POMBE.
MAGUFURI. makufur.
MBITIYAZA. fisi mwekundu
MBITIYAPI. FISI MWEUS
WABHEJA. ASANTE
NAHENE. HAKUNA SHIDA
NGASA.......
MASANJA.....
NGUSA........
MAKOYE. MATATIZO/SHIDA
WAWIZA. MZURI
GETE GETE. SANA SANA TISHA ILE MBAYA KINOMA NOMA
MISOJI. MICHUZI
LUNANI NA MAKONDA.....
NSAJI. MWEHU/CHIZI
WELELO. DUNIA.
UKUJIWE. UTUKUZWE
WA IMWENE . WA KIPEKEE
YAYA. HAPANA
YAYA GETE . HAPANA KABISA
mengine muongeze naingia darasan mida mida mazee
LONDON BOY/BOY FROM LONDON
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana.
Leo nimeamua niwaletee majina ya kisukuma na maana zake
Naomba tuwe pamoja
MAYALA. Njaa huitwa wa kiume
NYANZALA. njaa huitwa wa kike
BUTOGWA. UPENDO /MAPENDO
MABULA. mvua huitwa wa kiume
KABULA. huitwa wa kike
NAKUTOGWILE. nakupenda
GWAJIMA. kuzima
BASHITE. mbishi/mtata
SHILEKI. KUACHWA
MAYILA. njia
WAPE. MWEUPE
NSHEKU. Soft handsome/beuty
WALWA. POMBE.
MAGUFURI. makufur.
MBITIYAZA. fisi mwekundu
MBITIYAPI. FISI MWEUS
WABHEJA. ASANTE
NAHENE. HAKUNA SHIDA
NGASA.......
MASANJA.....
NGUSA........
MAKOYE. MATATIZO/SHIDA
WAWIZA. MZURI
GETE GETE. SANA SANA TISHA ILE MBAYA KINOMA NOMA
MISOJI. MICHUZI
LUNANI NA MAKONDA.....
NSAJI. MWEHU/CHIZI
WELELO. DUNIA.
UKUJIWE. UTUKUZWE
WA IMWENE . WA KIPEKEE
YAYA. HAPANA
YAYA GETE . HAPANA KABISA
mengine muongeze naingia darasan mida mida mazee
LONDON BOY/BOY FROM LONDON
Itongo ni sehemu walipokua wakiishi wao na mifugo Yao huwa sehemu nzuli yenye rutuba kwa kuwa na mboji na samadiOK,nashukuru naona kama hii thread ingekuwa siyo ya majina bali ya kujifunza,nitachukua madini yatakayokuwa hapa kwa ajiri ya matumizi binafsi.
Litongo ulivyoelezea sehemu ambapo panakuwa na mifugo inatofauitiana nini na "Lugoto" a.k.a zizi?
[emoji3][emoji3]Bhebhe nang'ho