Baadhi ya majina ya Kisukuma na maana zake

Masanja ni jina analopewa mtoto wa kiume anayezaliwa kabla ya ndoa.. kwahiyo anakuwa mpatanishi wa hizo familia mbili..
Masanja=Aliyewaunganisha/mpatanishi
 
Masanja ni jina analopewa mtoto wa kiume anayezaliwa kabla ya ndoa.. kwahiyo anakuwa mpatanishi wa hizo familia mbili..
Masanja=Aliyewaunganisha/mpatanishi
Kama inakuja, kama inakataa

Namghe- mume/ wao[emoji3]

Masanja- isanghejo/ mchanganyiko

Kama mtoto haramu hivi[emoji848]

Unaweza kusahihisha, ila huo ndio ukweli
 
MISOJI. MICHUZI
Miso +Ji=macho yenye machizi
MISO JI ni jina la linaloundwa na maneno mawili, miso=macho na "JI" likimaanisha kujaa kitu.
Kwa hiyo MISOJI haimaniishi michuzi kwenye context ya majina ya kisukuma bali linaamisha mtu aliyezaliwa wakati wa majonzi
 
Madumu -dumu
Misongh'wani -macho mbele
Sonda -Nyota
Misongh'wani= macho pwani. Nadhani walikuwa wakimaanisha macho yaliyoangalia mbali. Enzi za zamani kidogo, wasukuma waliamini kuwa sehemu iliyo mbali sana na wao ni NG"HWANI, yaani Dar es Salaam
 
Jina la demu wang wa kisukuma,kabla ya kujua maana yake hapa,nilikuwa nalihis vibaya hadi huwa namuita KB na yeye huwa anajitambulisha kama K
Mbula======M-bula= mvua
Kabula=====Ka-bula=kiji-mvua
Mabula====Ma-bula=Manvua
Mabula ni jina la wanaume
 
Jina la demu wang wa kisukuma,kabla ya kujua maana yake hapa,nilikuwa nalihis vibaya hadi huwa namuita KB na yeye huwa anajitambulisha kama K
Mbona kama namjua,ni mrefu amejaa mwili?
 
Sukuma gang ........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…