ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Habari ya saa hizi wakuu,
Hali si shwari huko kwa Ruto, inasemekana uchumi wa Kenya uko katika hali mbaya na wameomba msaada kutoka Tanzania.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, Kenya imekumbwa na upungufu wa dola za Kimarekani kuwezesha kuagiza bidhaa nje, mzigo mkubwa wa madeni ambao unakaribia kufilisika, mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa hasa chakula uliosababishwa na ukame na bei ya mafuta kuwa juu, na hali mbaya ya ukame iliyopelekea upungufu wa chakula.
Shilingi ya Kenya imeporomoka dhidi ya dola, hivyo wafanyabiashara wamepoteza imani na pesa ya Kenya, na wamekimbia kwenye dola ili wasipate hasara, lakini hata dola yenyewe haipo.
Chondechonde, Tanzania iweni makini, kwani hata sisi tuna dola za kutosha kuwezesha kuagiza bidhaa kwa miezi minne tu.