Baadhi ya Makampuni Kenya yageukia nchi Jirani kuagiza Dola kutokana na uhaba wa fedha hizo

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Habari ya saa hizi wakuu,

Hali si shwari huko kwa Ruto, inasemekana uchumi wa Kenya uko katika hali mbaya na wameomba msaada kutoka Tanzania.

Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, Kenya imekumbwa na upungufu wa dola za Kimarekani kuwezesha kuagiza bidhaa nje, mzigo mkubwa wa madeni ambao unakaribia kufilisika, mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa hasa chakula uliosababishwa na ukame na bei ya mafuta kuwa juu, na hali mbaya ya ukame iliyopelekea upungufu wa chakula.

Shilingi ya Kenya imeporomoka dhidi ya dola, hivyo wafanyabiashara wamepoteza imani na pesa ya Kenya, na wamekimbia kwenye dola ili wasipate hasara, lakini hata dola yenyewe haipo.

Chondechonde, Tanzania iweni makini, kwani hata sisi tuna dola za kutosha kuwezesha kuagiza bidhaa kwa miezi minne tu.

Hiyo yote ni kazi ya Magufuli na fiscal discipline tulioifwata kwa miaka 5 na ndio maana leo hii Kenya wanakuja kuomba msaada Tanzania lkn after 5 years from now itakuwa kinyume chake.

Tanzania haijawahi kuizidi Kenya kwa kiuchumi tangia Uhuru na wala Kenya haijawaji kuitaji msaada wa Kiuchumi kutoka Tanzania popote pale kabla ya Magufuli kuwa raisi wa nchi.

Gone too soon!
 
Kwa nini? Mpaka sasa hivi ni policy za Uchumi wa Magufuli ndiyo zinatawala, itachukuwa kuanzia miaka 5-10 tuanze kuona Uchumi wa Samia, ila sasa hivi anagembelea nyota ya kazi ya Magu, …
Kama policy gani hizo za Mwendazake?
 
Habari ya sasa wakuu,

Hali si shwari huko kwa Ruto, inasemekana uchumi wa Kenya uko katika hali mbaya na wameomba msaada kutoka Tanzania.

Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, Kenya imekumbwa na upungufu wa dola za Kimarekani kuwezesha kuagiza bidhaa nje, mzigo mkubwa wa madeni ambao unakaribia kufilisika, mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa hasa chakula uliosababishwa na ukame na bei ya mafuta kuwa juu, na hali mbaya ya ukame iliyopelekea upungufu wa chakula.

Shilingi ya Kenya imeporomoka dhidi ya dola, hivyo wafanyabiashara wamepoteza imani na pesa ya Kenya, na wamekimbia kwenye dola ili wasipate hasara, lakini hata dola yenyewe haipo.

Chondechonde, Tanzania iweni makini, kwani hata sisi tuna dola za kutosha kuwezesha kuagiza bidhaa kwa miezi minne tu.

Waache wakenya watoe macho tu kama hapo juu. Unajua bwana ni jambo la asili, kufa kufaana, tuwapelekee chakula na mahitaji mengine tufaidike kiuchumi na shida yao bila kufurahia madhila yao.
 
Kama policy gani hizo za Mwendazake?
Kitendo cha Magufuli kuhimiza kuchapa kazi badala ya kujifungia wakati wa Corona, japo alikuwa anacheza mchezo wa hatari, lakini hatimaye ameibuka kidedea dhidi ya nchi zingine.

Kitendo cha Magufuli kuwa makini katika suala zima la kukopa mikopo ya kibiashara toka nje, limeifanya pesa yetu kuwa imara kidogo dhidi ya dola.

Hizi ni miongoni mwa hatua chache alizochukua Magufuli katika uhai wake ambazo matunda yake ndiyo haya tunayavuna.
 
Hiyo yote ni kazi ya Magufuli na fiscal discipline tulioifwata kwa miaka 5 na ndio maana leo hii Kenya wanakuja kuomba msaada Tanzania lkn after 5 years from now itakuwa kinyume chake.

Tanzania haijawahi kuizidi Kenya kwa kiuchumi tangia Uhuru na wala Kenya haijawaji kuitaji msaada wa Kiuchumi kutoka Tanzania popote pale kabla ya Magufuli kuwa raisi wa nchi.

Gone too soon!
Sio kweli; wakati wa Nyerere miaka ya 60's to 70's mwanzoni na brief wakati wa Mkapa to be precisely kati ya 1999-2004 tuliwazidi Kenya na hata Ethiopia kwa GDP. Hata ukigoogle tu utaona.

Wakati wa Magufuli ndipo Kenya walitupiga gap kubwa sana la GDP kuliko wakati wowote katika historia ya hizi nchi mbili. Hao Kenya wakati wa Nyerere kuna kipindi hata per capita tuliwapita kabla siasa za ujamaa hazijashika hatamu.

Namekuwekea hii clip ya kuonesha gdp changes ya baadhi nchi za EA na jirani zetu uone mwenyewe. (Kuanzia 1992 mpaka itavyokuwa 2025)

Hiyo yote ni kazi ya Magufuli na fiscal discipline tulioifwata kwa miaka 5 na ndio maana leo hii Kenya wanakuja kuomba msaada Tanzania lkn after 5 years from now itakuwa kinyume chake.

Tanzania haijawahi kuizidi Kenya kwa kiuchumi tangia Uhuru na wala Kenya haijawaji kuitaji msaada wa Kiuchumi kutoka Tanzania popote pale kabla ya Magufuli kuwa raisi wa nchi.

Gone too soon!
Wewe nawe hujui historia ya uchumi wa nchi hizi. Tanzania was the biggest economy in EA until early 90s when Kenya overtook Tanzania but slowly Tz is reclaiming its rightful position in EA.
 
Back
Top Bottom