Baadhi ya mandhari ya hotel ya Bwana Mwamposa

Ni jambo jema kuonyesha anatumia vizuri sadaka za waumini wake.

Ingekuwa jambo la ajabu kukosa mafanikio kama haya ikizingatiwa yeye ndio mtoa mafuta ya upako.
Itakuwa mwenyewe anapaka yale grade 1 kabisa kabla hayajazimuliwa.

Natumai waumini wake watakuwa wana punguzo maalum hapo hotelini maana ni wachangiaji wakuu.
 
Msiwe na wivu... mafanikio hayaji bila kuya angaikia...

Nanyie kaanzisheni madhabau kama ni rahisi...

Ukizoom hizo picha una muona mwamposa, ni kama mpiga picha alikuwa ana deal na yeye tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…