Baadhi ya mapungufu yaliyopelekea upotevu wa Tsh. bilioni 191.20, katika ukusanyaji wa mapato ya ndani

Baadhi ya mapungufu yaliyopelekea upotevu wa Tsh. bilioni 191.20, katika ukusanyaji wa mapato ya ndani

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Baadhi ya mapungufu yaliyopelekea upotevu wa Tsh. bilioni 191.20, katika ukusanyaji wa mapato ya ndani katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa:

A. Kutokana na Ukaguzi maalumu katika ukusanyaji wa mapato ya ndani ya MSM 43 kwa kipindi cha Miaka mitatu (2017/18 - 2019/20), CAG alibaini kutokusanywa kwa Tsh. bilioni 60.81 ambazo ni mapato ya ndani

B. Katika ukaguzi wa Mwaka 2019/20, CAG ameonesha kuongezeka kwa kutokusanywa kwa mapato ya ndani kwa kipindi cha 2016/17 hadi 2019/20

C. Mapitio ya mfumo wa mapato (LGRCIS) katika MSM 67 yalionesha kulikuwa na Tsh. bilioni 35.99 ambazo ni Miamala iliyokuwa haijawasilishwa na wakusanya mapato kutoka kwenye vyanzo mbalimbali.

Ripoti ya Uwajibikaji 2021
 
Back
Top Bottom