Baadhi ya Masheikh acheni unafiki. Mwingine aibuka na kusema mafuta sio dhambi

Baadhi ya Masheikh acheni unafiki. Mwingine aibuka na kusema mafuta sio dhambi

Unajuwa tofauti ya marashi na mafuta? Ya jana ni marashi yana rashwa tashwa.

Mafuta yanayoongelewa hapa na Shafi ndiyo ya Mwamamposa?

Shafi hapo anawaponda wajinga ndiyo waliwao. Anakwambia mafuta hayo yapo madukani.

Kondoo uliona umepata upenyo?
Ni mafuta ya upako wa Allah (mafuta ya ushirikina), nani kamtaja Mwamposa?
 
Unajuwa tofauti ya marashi na mafuta? Ya jana ni marashi yana rashwa tashwa.

Mafuta yanayoongelewa hapa na Shafi ndiyo ya Mwamamposa?

Shafi hapo anawaponda wajinga ndiyo waliwao. Anakwambia mafuta hayo yapo madukani.

Kondoo uliona umepata upenyo?
Ndo umeandika nini sasa!? Sheikh anazjngumzia mafuta ya upako wa Allah we unaleta porojo zako ilimradi uonekane umepinga! Hebu tujibu, kuna mafuta ya allah au hakuna?
 
Ngoja kwanza nipite kimya nisije nikatupiwa jini kiwete bure
 
Jana nilileta uzi hapa wa mafuta ya upako kwa waislamu. Mwislamu mmoja asiyejua anayeitwa FaizaFoxy akasema yale si mafuta ni maji.

Sasa leo shehe huyu kaja kumjibu kuwa ni mafuta ya upako wa Allah. Pia amesisitiza umuhimu wa waislamu kupakwa mafuta haya.

Uzi wa jana:

View attachment 3126041
AKatafute kazi ya kufanya , mambo ya mafuta amwachie mwamposa.
 
Ndiyo kawaida ya superstition.
Unakwenda kwa mganga wa kienyeji,anakwambia atakutibu na gamba la mti ambalo amelipata porini baada ya kutembea kwa siku tatu
Ni mbinu tu za kuongeza imani ya watu gullible.
 
Tanzania Kuna vyuo vya upadre na vyuo vya wachungaji wa KKKT.
Sijawahi ona chuo Cha MASHEIKH.
I rest my case.
 
Ni kweli sheikh sharif anauza mafuta msikitini. Huku kwetu lilipita gari la matangazo kuwa atakuwa na mhadhara msikitini
 
Swali uliwashawai kuingia msikiti ukakuta hayo mafuta yamewekwa mbele au yanauzwa humo?

Hao wanafanya kwa utashi wa nafsi zao tamaa za maisha ya Dunia ndio zinawaendesha na wala hakuna muislam atakae waelewa kama wakristo wanavyojaza pale kwa mwamposa kuyachukua, sio Kila alievaa kanzu ni sheikh mpaka mtu aitwe sheikh ujue mtu mwenyewe elimu ya dini haswa uningesikia maneno hayo yamesemwa na nudreen kishk au sheikh mansour.

Hapo kidgo ningeona kuna tija ya kujenga hoja ila hao wahuni hata juzu ama hawajahifadh.. haitushitui UISLAM SIO DINI YA MCHEZO TUMEKAMILIKA HATA ULETE UZUSHI HAKUNA ATAEKUFATA
😀😀 acha blah blah, kanunue mafuta ya upako kwa Dr. Sule. Kamwe humuwezi shindani na nyakati(muda)
 
Unajuwa tofauti ya marashi na mafuta? Ya jana ni marashi yana rashwa tashwa.

Mafuta yanayoongelewa hapa na Shafi ndiyo ya Mwamamposa?

Shafi hapo anawaponda wajinga ndiyo waliwao. Anakwambia mafuta hayo yapo madukani.

Kondoo uliona umepata upenyo?
Unajitahidi kukwepa na kuruka ruka katika hili la mafuta na hata uuitaje ila lipo na litakuwepo pia muda ni jawapo zuri sana.

Reseve hii comment dada yangu.
 
Huu ni mwaka wao

Ustadhi Shafii aliongoza kampeni ya kumpinga Mwamposa na Dr. Sule sababu ya shughuli zao za uponyaji wa kutumia zana kama mafuta nk

Sasa nilichokiona kwenye mdahalo tulioandaa mimi na Francis Ndacha pale Sinza darajani, ni Shafii kutozwa pesa na sheikh Firdaus Sharifu akiwa anatoa hoja jukwaani, na baada ya hapo akiwa anawapa pesa za kujikimu baada ya mkutano.

Sheikh Firdaus Shairifu hana tofauti na dr. Sule katika eneo hilo la kuagua. Nikawaza si huyu huyu Shafii ndio alikuwa anaponda mambo haya kiasi cha kutuambia akiwa na Mazinge eti kwanini mnafanya mdahalo na mganga wakimaanisha Sule.

Ila na wao wanapokea pesa za mnganga Firdaus, na niliposhangaa zaidi ni Dr. Sule alipokuja katika mkutano kama mtazamaji, naye akawachangia pesa na wakachukua. Yaani unaponda uganga halafu tena unakula pesa za mnganga, huu si unafiki kweli?

Haya sasa, naye kaibuka kutetea anapokula naam akitetea mafuta akiyapa jina lilelile ambao wakristo wanatumia yaani "upako" kama sheikh wake naam tajiri yake wa kiganga anavyotumia kuyaita. Kweli usicheze na mpunga.

Kweli Uislamuni mwaka huu kumechangamka......

Na Jeff Massawe

View attachment 3125986afiki
Wapi mafuta ya upako yamekua dhambi.? Yuko sahihi.
 
Wale wale halafu wa kwanza kurukana na kukana kuwa hao sio wenzao katika dini. Ili mradi waonekane wasafi
 
Anauzia ndani ya msikiti au nje..!? Ulishawai kusikia ananadi kuita sijui mafuta ya upako na kuanza kutoa ushahidi wa Aya za Quran..!? Kuuza mafuta sio kosa wala hakuna anaezuia uza mafuta ya zaitun, nyonyo, tini, ukitaka tengeneza yako uza sema yanatibu mapunye, yanaleta utajiri ni wewe tu hakuna anaekukataza ila usitumie mgongo wa dini kama wanavyofanya kina mwamposa sharifu majini yeye anafanya kwa gani yake ya uganga na sio mgongo wa dini sasa hao masheikh maandazi wanaongea na kutaka kutumia mgongo wa dini na kuiga Mila za manaswara kama kina mwamposa waambieni uislam hauko hivyo wataumia
Muda ni jawabu tisha shehe wangu. Sio hilo la mafuta tu, tutaona mengi pia upande wenu kama tulivyoona upande ule mwingine.

Dunia inaenda kasi sana. Mtaita marashi, sijui hayauzwi msikitini wala si chini ya mgongo wa dini kwani akina mwamposa wanauza Kanisani na kwa mgongo wa dini? Si wanauza nje ya Kanisa na hawauzi kwa mgongonwa dini.
 
Inashangaza sana
Ni kweli sheikh sharif anauza mafuta msikitini. Huku kwetu lilipita gari la matangazo kuwa atakuwa na mhadhara msikitini
Hawa watabisha.
Swali uliwashawai kuingia msikiti ukakuta hayo mafuta yamewekwa mbele au yanauzwa humo?

Hao wanafanya kwa utashi wa nafsi zao tamaa za maisha ya Dunia ndio zinawaendesha na wala hakuna muislam atakae waelewa kama wakristo wanavyojaza pale kwa mwamposa kuyachukua, sio Kila alievaa kanzu ni sheikh mpaka mtu aitwe sheikh ujue mtu mwenyewe elimu ya dini haswa uningesikia maneno hayo yamesemwa na nudreen kishk au sheikh mansour.

Hapo kidgo ningeona kuna tija ya kujenga hoja ila hao wahuni hata juzu ama hawajahifadh.. haitushitui UISLAM SIO DINI YA MCHEZO TUMEKAMILIKA HATA ULETE UZUSHI HAKUNA ATAEKUFATA
Unajuwa tofauti ya marashi na mafuta? Ya jana ni marashi yana rashwa tashwa.

Mafuta yanayoongelewa hapa na Shafi ndiyo ya Mwamamposa?

Shafi hapo anawaponda wajinga ndiyo waliwao. Anakwambia mafuta hayo yapo madukani.

Kondoo uliona umepata upenyo?
 
Swali uliwashawai kuingia msikiti ukakuta hayo mafuta yamewekwa mbele au yanauzwa humo?

Hao wanafanya kwa utashi wa nafsi zao tamaa za maisha ya Dunia ndio zinawaendesha na wala hakuna muislam atakae waelewa kama wakristo wanavyojaza pale kwa mwamposa kuyachukua, sio Kila alievaa kanzu ni sheikh mpaka mtu aitwe sheikh ujue mtu mwenyewe elimu ya dini haswa uningesikia maneno hayo yamesemwa na nudreen kishk au sheikh mansour.

Hapo kidgo ningeona kuna tija ya kujenga hoja ila hao wahuni hata juzu ama hawajahifadh.. haitushitui UISLAM SIO DINI YA MCHEZO TUMEKAMILIKA HATA ULETE UZUSHI HAKUNA ATAEKUFATA
Kwa haya tunayo yaona hamna pa kujifichia. Kwani sisiwakristo ni wapi umeona madhehebu makubwa kama Roma, wasabato,kkt wanauza mafuta au vitambaa vya upako?

Kubalini tu kuwa na kwenu kumeingiliwa vilevile na uislami unachafuliwa!! Hao mkiwatenga wataanzisha misikiti Yao na wataiita majina Yao no Quran itasomwa mle na hamna Cha kuwafanya
 
Wale wale halafu wa kwanza kurukana na kukana kuwa hao sio wenzao katika dini. Ili mradi waonekane wasafi
Muda ni jibu sahihi sister. Unavyoona wanavyoandika akina FaizaFoxy ni kujifirahisha kwani uoande ule huwa hautaki kukiri udhaifu na wanaamini wao ni bora ila dunia ya sasa mambo yamebadilika sana.

Haya masuala ya mitume na manabii wapo hata huko Upande wa pili japo wanasema huyo sio wetu kwani Mtume wetu wa mwisho ni Muhammad ila ni wao wanajiosha tu. Kuna mtume mmoja yupo Kibaha ni wa huko ngoja nimsearch mtandaoni japo wanamkataa na kumshambulia sana.

Masuala ya mafuta ya upako, maji ya upako, udongo wa upako, vitambaa hadi chupi hata huko vipo na wanajitahidi kuwazima na kuzima visitangazwe ila muda utayoa jibu kwani ulimwengu unaenda kasi sana kwenye wpande wa dini.

Nilishuhudia siku 1 Morogoro kwenye sijui muhadhara au mkutano wa Kiislamu wale mashehe wakiwapaka watu mafuta na watu kugaragara kwa mapepo kama kanisani tu.
 
Kwa haya tunayo yaona hamna pa kujifichia. Kwani sisiwakristo ni wapi umeona madhehebu makubwa kama Roma, wasabato,kkt wanauza mafuta au vitambaa vya upako?

Kubalini tu kuwa na kwenu kumeingiliwa vilevile na uislami unachafuliwa!! Hao mkiwatenga wataanzisha misikiti Yao na wataiita majina Yao no Quran itasomwa mle na hamna Cha kuwafanya
Hivi vitu vipo kwenye Uislamu muda mrefu sema wanajitahidi kuvizima na wanajitahidi kujionesha mbele za watu kuwa wapo safi ila mida ni jawabu.

Miaka miwili au mitatu iliyopita nimeshashuhudia kwa macho yangu wakiuza mafuta na kupaka watu mafuta baada ya kusanyiko/mkutano wao wa hadhara kama tunavyofanya mikutano ya Injili pale Morogoro na wamama wa Kiislamu wakianguka kwa mapepo kama kwa Mwamposa.
 
Msikiti upi..!? Kama tu sisi wenyewe hatufanyii vikao ndani ya misikiti sembuse kulete huo upuuzi Yani upande kwenye minbal hayo matakataka huo ndio utakuwa mwisho wako hatupendi mchezo na dini labla afungue msikiti wake na asitegemee kuona mtu akienda kusali humo
Kwamba ndani ya msikiti hakufanyiki vikao? Wewe mbona ni muongo kiasi hiki?
 
Hao ni waganga wa kienyeji tunasema humu mara kadhaa, uislamu na mafuta ya upako wapi na wapi? hawa watawauzia wenzao wasiojitambua lakini uislamu sahihi utabaki vilevile wala hawatoudhuru kwa chochote, watu wenyewe wamekangua ndevu zote videvu vimekuwa laini kama bulb za energy server ndo wanatumika kama hoja kuhusu uislamu kweli?.
 
Back
Top Bottom