Huu ni mwaka wao
Ustadhi Shafii aliongoza kampeni ya kumpinga Mwamposa na Dr. Sule sababu ya shughuli zao za uponyaji wa kutumia zana kama mafuta nk
Sasa nilichokiona kwenye mdahalo tulioandaa mimi na Francis Ndacha pale Sinza darajani, ni Shafii kutozwa pesa na sheikh Firdaus Sharifu akiwa anatoa hoja jukwaani, na baada ya hapo akiwa anawapa pesa za kujikimu baada ya mkutano.
Sheikh Firdaus Shairifu hana tofauti na dr. Sule katika eneo hilo la kuagua. Nikawaza si huyu huyu Shafii ndio alikuwa anaponda mambo haya kiasi cha kutuambia akiwa na Mazinge eti kwanini mnafanya mdahalo na mganga wakimaanisha Sule.
Ila na wao wanapokea pesa za mnganga Firdaus, na niliposhangaa zaidi ni Dr. Sule alipokuja katika mkutano kama mtazamaji, naye akawachangia pesa na wakachukua. Yaani unaponda uganga halafu tena unakula pesa za mnganga, huu si unafiki kweli?
Haya sasa, naye kaibuka kutetea anapokula naam akitetea mafuta akiyapa jina lilelile ambao wakristo wanatumia yaani "upako" kama sheikh wake naam tajiri yake wa kiganga anavyotumia kuyaita. Kweli usicheze na mpunga.
Kweli Uislamuni mwaka huu kumechangamka......
Na Jeff Massawe
View attachment 3125986afiki