Baadhi ya Masheikh acheni unafiki. Mwingine aibuka na kusema mafuta sio dhambi

Unajuwa tofauti ya marashi na mafuta? Ya jana ni marashi yana rashwa tashwa.

Mafuta yanayoongelewa hapa na Shafi ndiyo ya Mwamamposa?

Shafi hapo anawaponda wajinga ndiyo waliwao. Anakwambia mafuta hayo yapo madukani.

Kondoo uliona umepata upenyo?
Ni mafuta ya upako wa Allah (mafuta ya ushirikina), nani kamtaja Mwamposa?
 
Unajuwa tofauti ya marashi na mafuta? Ya jana ni marashi yana rashwa tashwa.

Mafuta yanayoongelewa hapa na Shafi ndiyo ya Mwamamposa?

Shafi hapo anawaponda wajinga ndiyo waliwao. Anakwambia mafuta hayo yapo madukani.

Kondoo uliona umepata upenyo?
Ndo umeandika nini sasa!? Sheikh anazjngumzia mafuta ya upako wa Allah we unaleta porojo zako ilimradi uonekane umepinga! Hebu tujibu, kuna mafuta ya allah au hakuna?
 
Ngoja kwanza nipite kimya nisije nikatupiwa jini kiwete bure
 
AKatafute kazi ya kufanya , mambo ya mafuta amwachie mwamposa.
 
Ndiyo kawaida ya superstition.
Unakwenda kwa mganga wa kienyeji,anakwambia atakutibu na gamba la mti ambalo amelipata porini baada ya kutembea kwa siku tatu
Ni mbinu tu za kuongeza imani ya watu gullible.
 
Tanzania Kuna vyuo vya upadre na vyuo vya wachungaji wa KKKT.
Sijawahi ona chuo Cha MASHEIKH.
I rest my case.
 
Ni kweli sheikh sharif anauza mafuta msikitini. Huku kwetu lilipita gari la matangazo kuwa atakuwa na mhadhara msikitini
 
😀😀 acha blah blah, kanunue mafuta ya upako kwa Dr. Sule. Kamwe humuwezi shindani na nyakati(muda)
 
Unajuwa tofauti ya marashi na mafuta? Ya jana ni marashi yana rashwa tashwa.

Mafuta yanayoongelewa hapa na Shafi ndiyo ya Mwamamposa?

Shafi hapo anawaponda wajinga ndiyo waliwao. Anakwambia mafuta hayo yapo madukani.

Kondoo uliona umepata upenyo?
Unajitahidi kukwepa na kuruka ruka katika hili la mafuta na hata uuitaje ila lipo na litakuwepo pia muda ni jawapo zuri sana.

Reseve hii comment dada yangu.
 
Wapi mafuta ya upako yamekua dhambi.? Yuko sahihi.
 
Wale wale halafu wa kwanza kurukana na kukana kuwa hao sio wenzao katika dini. Ili mradi waonekane wasafi
 
Muda ni jawabu tisha shehe wangu. Sio hilo la mafuta tu, tutaona mengi pia upande wenu kama tulivyoona upande ule mwingine.

Dunia inaenda kasi sana. Mtaita marashi, sijui hayauzwi msikitini wala si chini ya mgongo wa dini kwani akina mwamposa wanauza Kanisani na kwa mgongo wa dini? Si wanauza nje ya Kanisa na hawauzi kwa mgongonwa dini.
 
Inashangaza sana
Ni kweli sheikh sharif anauza mafuta msikitini. Huku kwetu lilipita gari la matangazo kuwa atakuwa na mhadhara msikitini
Hawa watabisha.
Unajuwa tofauti ya marashi na mafuta? Ya jana ni marashi yana rashwa tashwa.

Mafuta yanayoongelewa hapa na Shafi ndiyo ya Mwamamposa?

Shafi hapo anawaponda wajinga ndiyo waliwao. Anakwambia mafuta hayo yapo madukani.

Kondoo uliona umepata upenyo?
 
Kwa haya tunayo yaona hamna pa kujifichia. Kwani sisiwakristo ni wapi umeona madhehebu makubwa kama Roma, wasabato,kkt wanauza mafuta au vitambaa vya upako?

Kubalini tu kuwa na kwenu kumeingiliwa vilevile na uislami unachafuliwa!! Hao mkiwatenga wataanzisha misikiti Yao na wataiita majina Yao no Quran itasomwa mle na hamna Cha kuwafanya
 
Wale wale halafu wa kwanza kurukana na kukana kuwa hao sio wenzao katika dini. Ili mradi waonekane wasafi
Muda ni jibu sahihi sister. Unavyoona wanavyoandika akina FaizaFoxy ni kujifirahisha kwani uoande ule huwa hautaki kukiri udhaifu na wanaamini wao ni bora ila dunia ya sasa mambo yamebadilika sana.

Haya masuala ya mitume na manabii wapo hata huko Upande wa pili japo wanasema huyo sio wetu kwani Mtume wetu wa mwisho ni Muhammad ila ni wao wanajiosha tu. Kuna mtume mmoja yupo Kibaha ni wa huko ngoja nimsearch mtandaoni japo wanamkataa na kumshambulia sana.

Masuala ya mafuta ya upako, maji ya upako, udongo wa upako, vitambaa hadi chupi hata huko vipo na wanajitahidi kuwazima na kuzima visitangazwe ila muda utayoa jibu kwani ulimwengu unaenda kasi sana kwenye wpande wa dini.

Nilishuhudia siku 1 Morogoro kwenye sijui muhadhara au mkutano wa Kiislamu wale mashehe wakiwapaka watu mafuta na watu kugaragara kwa mapepo kama kanisani tu.
 
Hivi vitu vipo kwenye Uislamu muda mrefu sema wanajitahidi kuvizima na wanajitahidi kujionesha mbele za watu kuwa wapo safi ila mida ni jawabu.

Miaka miwili au mitatu iliyopita nimeshashuhudia kwa macho yangu wakiuza mafuta na kupaka watu mafuta baada ya kusanyiko/mkutano wao wa hadhara kama tunavyofanya mikutano ya Injili pale Morogoro na wamama wa Kiislamu wakianguka kwa mapepo kama kwa Mwamposa.
 
Kwamba ndani ya msikiti hakufanyiki vikao? Wewe mbona ni muongo kiasi hiki?
 
Hao ni waganga wa kienyeji tunasema humu mara kadhaa, uislamu na mafuta ya upako wapi na wapi? hawa watawauzia wenzao wasiojitambua lakini uislamu sahihi utabaki vilevile wala hawatoudhuru kwa chochote, watu wenyewe wamekangua ndevu zote videvu vimekuwa laini kama bulb za energy server ndo wanatumika kama hoja kuhusu uislamu kweli?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…