Baadhi ya maswali TPA

Baadhi ya maswali TPA

Waibi fredy

Senior Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
194
Reaction score
227
Pepa la leo la TPA

Ports operation officer:
1. Define the folowing i) feeder ship
ii) Dumerrage
iii) heavy lift service

2. Meanig of
i) Quay transfer
ii) storage operation
iii) ship operation
iv) delivery and receipt operation

3. Documents required in:
i) general cargo clearing,
ii) motor vehicle,
iii) Container terminal movement
iv) Transhipment

4. a) what is stowage plan
b) 3 main content of a stowage plan

5. Steps of handling a truck that came to pick up a ceared good.
 
Dah haikua haki kwa mliotoka courses za Procurement, Statistics etc etc

Paper ni pure Shipping.

Mtu makini wa Shipping and Logistics Management hiyo paper ilikua kitonga sana aisee. Mtu wa Transport and Logistics Management stood a chance pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo paper unavyoina labda kwa mtu mwenye uzoefu na amefanya practical sivyo Italian hao logistic and transport management sio maswali yote watajibu happ nusu tu hwataboi kuna vitu hapo vya field zaidi angalia swali la 5 ilo ni la clearing and forwarding pure.

Hapo mtu ajue kuanzia kuja na import permit /transport permit process zote za TPA mpaka kuja kupata gate pass yaani gate out na ajue izo shipment Kuna direct delivery Kuna condition zake sana sana ujue kuendana na yule gate operator uwe na baadhi ya documents za mzigo kama Delivery order kutoka shipping line taarifa za madereva wale na namba za magari mpaka chasis number zikitofautian gari halitoki 🤣🤣🤣🤣 na hapo clearing&forwarding agent ndo anasimamia show

Hapo mpaka uwe field la swali unapiga easy

Maswali yanaeleweka karibia yote sema unatakiwa ujue field ndo utaeleza vizuri mfano stowage plan hapo kuandaa space katika meli ili kupanga containers kuna vitu vya kujua mfano list of dangerous goods(DG) ili ujue unaziweka vip zisije kuleta madhara

Demmurage ni kama vile detention yaani kuzuiliwa Kwa meli na wale charter Kwa kushindwa kupakia au kushusha mzigo katika mda husika unakuta zinatolewa pale berth mpaka ije lipiwa dummurage charges
 
Pepa la leo la tpa
Ports operation officer:
1. Define the folowing i) feeder ship ii) Dumerrage iii) heavy lift service iv)..
Kwa somo moja tu la Cargo storage na warehousing (SWK) napasua yote achilia mbali nondo za (Customs), Port operations hapo sijaigusa maswali yote ni akili ya First year, achilia field za miaka mitatu3, Nilipiga paper nikaunda kampuni 3 nikauza 2 nimemkodishia mtu hio moja. Ujasiriamali unanitosha
mkizingua wenyewe tunarudi hapo.
Nejmegen
 
Dah haikua haki kwa mliotoka courses za Procurement, Statistics etc etc

Paper ni pure Shipping.

Mtu makini wa Shipping and Logistics Management hiyo paper ilikua kitonga sana aisee. Mtu wa Transport and Logistics Management stood a chance pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maswali ya kitoto sana hayo ni sharti kusoma shipping kabla hujaenda interview, interview gani hio maswali ya certificate unajibu kwa tabasamu yote.

Wabongo hawafungamanishi nafasi ya ajira na akili ya namna ya kujiandaa na written paper. GS, CS na basic English mnadharau.
 
Hujabishiwa.

Unaambiwa ni maswali ya kitoto ila kwa walio kwenye kozi husika.

Wengi tulizoeshwa kwamba utumishi wakiita watu wa kozi tofauti katika post moja hua wanabalansi maswali.

Wewe unavyosema ungepasua kwa elimu ya first year haimaanishi una akili sana inamaanisha wametoa maswali angle unayoijua
 
Sasa ushasema ni kozi yako uliyoisomea sasa maswali yatakuaje magumu kwako ?

Sanasana utawaona watu wa kozi nyengine walioenda Dodoma ni vilaza na pia wamechoma nauli
 
Hujabishiwa.

Unaambiwa ni maswali ya kitoto ila kwa walio kwenye kozi husika.

Wengi tulizoeshwa kwamba utumishi wakiita watu wa kozi tofauti katika post moja hua wanabalansi maswali.

Wewe unavyosema ungepasua kwa elimu ya first year haimaanishi una akili sana inamaanisha wametoa maswali angle unayoijua
Ndio sisi washauri elekezi mtutumie tupo Dodoma kwa ajili yenu
 
Pepa la leo la TPA

Ports operation officer:
1. Define the folowing i) feeder ship
ii) Dumerrage
iii) heavy lift service

2. Meanig of
i) Quay transfer
ii) storage operation
iii) ship operation
iv) delivery and receipt operation

3. Documents required in:
i) general cargo clearing,
ii) motor vehicle,
iii) Container terminal movement
iv) Transhipment

4. a) what is stowage plan
b) 3 main content of a stowage plan

5. Steps of handling a truck that came to pick up a ceared good.

Nimesomea manunuzi. Ila maswali yote haya najibu. Kuna nyuzi wanalalamika maswali yalikuwa magumu. Yaani haya ndio magumu?
 
Back
Top Bottom