Waibi fredy
Senior Member
- Jul 4, 2018
- 194
- 227
Na ndio target yao hao haoMaswali sio magumu kwa mtu aliyesomea maswala ya shipping au mzoefu wa kazi za bandarin
Hyo paper unavyoina labda kwa mtu mwenye uzoefu na amefanya practical sivyo Italian hao logistic and transport management sio maswali yote watajibu happ nusu tu hwataboi kuna vitu hapo vya field zaidi angalia swali la 5 ilo ni la clearing and forwarding pure.Dah haikua haki kwa mliotoka courses za Procurement, Statistics etc etc
Paper ni pure Shipping.
Mtu makini wa Shipping and Logistics Management hiyo paper ilikua kitonga sana aisee. Mtu wa Transport and Logistics Management stood a chance pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa somo moja tu la Cargo storage na warehousing (SWK) napasua yote achilia mbali nondo za (Customs), Port operations hapo sijaigusa maswali yote ni akili ya First year, achilia field za miaka mitatu3, Nilipiga paper nikaunda kampuni 3 nikauza 2 nimemkodishia mtu hio moja. Ujasiriamali unanitoshaPepa la leo la tpa
Ports operation officer:
1. Define the folowing i) feeder ship ii) Dumerrage iii) heavy lift service iv)..
Maswali ya kitoto sana hayo ni sharti kusoma shipping kabla hujaenda interview, interview gani hio maswali ya certificate unajibu kwa tabasamu yote.Dah haikua haki kwa mliotoka courses za Procurement, Statistics etc etc
Paper ni pure Shipping.
Mtu makini wa Shipping and Logistics Management hiyo paper ilikua kitonga sana aisee. Mtu wa Transport and Logistics Management stood a chance pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujabishiwa.Maswali ya kitoto sana hayo ni sharti kusoma shipping kabla hujaenda interview, interview gani hio maswali ya certificate unajibu kwa tabasamu yote.
Wabongo hawafungamanishi nafasi ya ajira na akili ya namna ya kujiandaa na written paper. GS, CS na basic English mnadharau.
Sasa ushasema ni kozi yako uliyoisomea sasa maswali yatakuaje magumu kwako ?Maswali ya kitoto sana hayo ni sharti kusoma shipping kabla hujaenda interview, interview gani hio maswali ya certificate unajibu kwa tabasamu yote.
Wabongo hawafungamanishi nafasi ya ajira na akili ya namna ya kujiandaa na written paper. GS, CS na basic English mnadharau.
poleni next time mtukodishe tuwape ABC tumieni washauri elekezi kabla ya kwenda kwa usailiSasa ushasema ni kozi yako uliyoisomea sasa maswali yatakuaje magumu kwako ?
Sanasana utawaona watu wa kozi nyengine walioenda Dodoma ni vilaza na pia wamechoma nauli
Ndio sisi washauri elekezi mtutumie tupo Dodoma kwa ajili yenuHujabishiwa.
Unaambiwa ni maswali ya kitoto ila kwa walio kwenye kozi husika.
Wengi tulizoeshwa kwamba utumishi wakiita watu wa kozi tofauti katika post moja hua wanabalansi maswali.
Wewe unavyosema ungepasua kwa elimu ya first year haimaanishi una akili sana inamaanisha wametoa maswali angle unayoijua
Pepa la leo la TPA
Ports operation officer:
1. Define the folowing i) feeder ship
ii) Dumerrage
iii) heavy lift service
2. Meanig of
i) Quay transfer
ii) storage operation
iii) ship operation
iv) delivery and receipt operation
3. Documents required in:
i) general cargo clearing,
ii) motor vehicle,
iii) Container terminal movement
iv) Transhipment
4. a) what is stowage plan
b) 3 main content of a stowage plan
5. Steps of handling a truck that came to pick up a ceared good.
Labda manunuzi ya mapumbuh.Nimesomea manunuzi. Ila maswali yote haya najibu. Kuna nyuzi wanalalamika maswali yalikuwa magumu. Yaani haya ndio magumu?
Mtu aliesomea HR anajibu nin hapo kwa mfano.Nimesomea manunuzi. Ila maswali yote haya najibu. Kuna nyuzi wanalalamika maswali yalikuwa magumu. Yaani haya ndio magumu?
Sawa ngoja tuendelee kuzurura jijini hapa baadae turudi makwetupoleni next time mtukodishe tuwape ABC tumieni washauri elekezi kabla ya kwenda kwa usaili