Baadhi ya maswali TPA

Siku zote ndivyo ilivyo ukiona mtu kafaulu mtihani vyema jua kwamba kilichoulizwa alikuwa n ufahamu nacho kwa undani🤣 sio kwamba yeye ana akili sana kuliko wote ambao wamefeli.
 
Hata kwa mtoa mzigo demmurage ipo so ungeelezea kwa pande zote. Yani hata mzigo ukishawekwa bandarini au ICD charges za aina hio zipo.
 
Sure thing mzee

Pata picha sasa mzee mtu wa HR anajibu nini hapo? [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mzee baba
 
Siambui hata moja
 
Yani hata ship,storage operation ushindwe kujibu ? Naona hayo mtu yeyote anajibu,mengine ni kipengele
Kama ni kujibu ship is a vessel that carries goods from abroad au country of origin to the destination country kwa majibu ya aina hio hamna mtu mwenye kujua kingereza atashindwa jibu.

Storage operation includes all the process of keeping the goods safe from the time of arrival of the ship until they are dismissed to the importer.
 
Kabisa Mkuu,hi kitu sikuitwa, kumbe ningeenda ningepata maswali mawili tu😂
 
Nimesomea manunuzi. Ila maswali yote haya najibu. Kuna nyuzi wanalalamika maswali yalikuwa magumu. Yaani haya ndio magumu?
ni kichekesho sana eti haya ndio maswali magumu, kisha applicants ni kutoka kwa kobe panya chura mjusi wakati fani ni ya farasi wapi na wapi wamechosha watu bila huruma
 
Kweli kabisa common sense inatumika maswali yote
 
sure mzee..hata hivi utumishi wanakosea sana kuita watu wa kozi tofauti na kada ya kazi husika.. hizo kazi za logistics and shipping mgt..watu wa NIT na DMI sasa umesoma sheria unaenda kufanya nn kule???
 
fanya usaili kwenye kada husika ili kuepusha kuchoma nauli
 
sasa umesoma hr unafanya usaili wa kada ya transport una akili???? lazima uende Dom kutalii tu.,waacheni wenye kada ya TRANSPORT & SHIPPING
 
sasa umesoma hr unafanya usaili wa kada ya transport una akili???? lazima uende Dom kutalii tu.,waacheni wenye kada ya TRANSPORT & SHIPPING
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…