Baadhi ya maswali yaliokosa majibu Kwenye Soka

Baadhi ya maswali yaliokosa majibu Kwenye Soka

Maradona ni hatari zaidi ya Pele.

Messi hana mfano wake.

Barca ya 2009-11 ni timu hatari zaidi kuwahi kuishuhudia.

Lampard na Gerrard hawakuwahi kuwa world class midfielders na ndio maana walifeli.

Thierry Henry anabaki kuwa mchezaji bora zaidi wa kigeni kuwahi kucheza EPL.

Zidane akiwa anacheza hakuwa na mpinzani wa kariba yake hivyo Gaucho alijaribu lakini hakufanikiwa.


Kweli wewe ni mchambuzi mahiri unajua mpira ✔✔✔✔✔✔
 
Unamsifia Mtu kwa mechi moja??
Nyie ndio wale mnaomsifia na kumlinganisa Van Djiyk na Paolo Maldini.

Hayo ya van djik kwa paolo maldini ni utopolo unaoropoka wewe, mimi sithubutu na wala sintakuja kuthubutu kufanya huo upuuzi!

Unajua hiyo comment yangu ilimaanisha nini uliielewa lakini.

Haya kwahiyo wewe unataka kusema zidane hakuwa mchezaji bora!

Zidane alizidiwa na hao kina pablo aimar, kina rui costa, rivaldo walimzid zidane kuwa serious mzee. Hiyo game ni ya mfano, so unataka kuniambia zidane katika maisha yake kang’ara ndani ya game mmoja tu, kiasi umuite mchezaji wa game m1!?!?!??????

Kila mchezaji ana baadhi ya game ambazo alifanya mambo ya hatari! Hizo ni nyepesi kukumbukwa! Hata huyo gaucho ana game alicheza kwa kiwango cha juu hasa, akaiamua game lazima zitajwe, je ukiambiwa gaucho ni mchezaji bora ukaambiwa kaitizame game ya barca vs madrid bernabeu alivyowagaragaza kina ramos, anapigiwa makofi na mashabiki wa madrid!
 
Back
Top Bottom