Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Cjawahi kusikia, mchezaji anafananishwa na gaucho.....utasikia new pele, new mess, new maradona na wa wjingawajinga wengine, gaucho ni nabii wa soka.
Maradona ni hatari zaidi ya Pele.
Messi hana mfano wake.
Barca ya 2009-11 ni timu hatari zaidi kuwahi kuishuhudia.
Lampard na Gerrard hawakuwahi kuwa world class midfielders na ndio maana walifeli.
Thierry Henry anabaki kuwa mchezaji bora zaidi wa kigeni kuwahi kucheza EPL.
Zidane akiwa anacheza hakuwa na mpinzani wa kariba yake hivyo Gaucho alijaribu lakini hakufanikiwa.
Unamsifia Mtu kwa mechi moja??
Nyie ndio wale mnaomsifia na kumlinganisa Van Djiyk na Paolo Maldini.