Baadhi ya Mawaziri Serikali ya Awamu ya Sita wamekuwa na Utajiri wa ghafla usio kifani

Huyu wa Maji nahisi kavimbiwa hadi kazi imemshinda.
 
LABDA NI PAMOJA NA KULA KWA ULEVU WA KAMBA ZAO
PER DIEM KUPANDA
ZAWADI KWA KIONGOZI UKIFANYA VIZURI AU UKIMPITISHIA JAMBO LAKE
KUKOPA KIURAHISI KWENYE MABENK ILI KUENDESHA MIRADI YAO
LABDA KUTOLIPA KODI STAHIKI
 
Mlitaka tuwee maskini kama ukoowenu??hatuwezii kufananaaa ala
 
WANAKULA KWA UREFU WA KAMBA
 
Walisharuhusiwa kula kwa urefu wa kamba zao na wasiingiliane kwenye ulaji kila mmoja ale kwake
 
halafu haya yote yanatokea wale watu wamenyamaza tu
 
Jibu hili hapa
 

Attachments

  • 5610383-80dca61ce68a65a5ac71bee634c7e192.mp4
    332.8 KB
Wametajirika sana hawa mawaziri...chanzo cha haya yoye walishapewa go ahead kwamba wale ila wasivimbiwe..hatuna la kufanya zaidi ya kumkumbuka magu
 
Tuna rais dhaifu sana, watu wanakula pesa ya umma bila kificho na mwanae naye anazipiga atakavyo. Fikiria waziri ananunua timu za mpira wa miguu za ligi kuu!
 
Mbarawa wixara gani tena vile???
 
Porojo tu. Punguza wivu ndugu mwananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…