Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Wivu ni upi hapo sasa mkuu,ku-expose watu wanaoibia wananchi,huo ni wajibu wa kila mwananchi mkuu.Serikali makini ingeanzia hapo na kufanya uchunguzi wa kina.Kosa ni nini hapo au wivu wako tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu ni upi hapo sasa mkuu,ku-expose watu wanaoibia wananchi,huo ni wajibu wa kila mwananchi mkuu.Serikali makini ingeanzia hapo na kufanya uchunguzi wa kina.Kosa ni nini hapo au wivu wako tu?
Kila mtu anakula ndani ya kamba yake. Hii ilisharuhusiwaKuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa sasa. Mawaziri hao wamekuwa na tabia ya kugawa fedha ili Bajeti zao ziungwe mkono kwa mujibu wa maelezo ya mtoa taarifa kutoka Bungeni.
Kwa kuanza futailieni utajiri wa mawaziri wa sekta hizi;
1. Maji
2. Kilimo
3. Uchukuzi zamani Ujenzi
4. Mambo ya Nje zamani Nishati
5. Fedha
6. Mipango hasa baada ya Mkataba wa DP
7. Ardhi na danganya toto zake za PR
8. TAMISEMI, huyu yeye anakusanya bila aibu
Kama tungekuwa na vyombo imara vya uchunguzi wahusika hao wanatakiwa kuwa gerezani. Wanakula, wanaiba bila kunawa mikono.
Wewe bitimkongwe. Ina maana wewe umejificha uvunguni huko hata hujui nini kinaendelea hapa nchini??leteni huo ushahidi wa utajir wao, la si hivyo hayo ni majungu tu munapika kama kawaida
Bado zipo sane nation's mkuu in Africa,Namibia is one of them.Kwa nini sisi tuwe one of the worst?See how Namibia is fairing in the following clip,very impressive.I wish Namibia was TanzaniaKagombee na wewe ubunge uone kama ni rahisi. Acha wale mpk wavimbiwe. Siasa barani Afrika ni chanzo cha utajiri.
Mwanamke wa kwanza kwa utajiri barani Afrika ni binti wa rais wa zamani wa Sierra Leone.
This is pure egoism,jalini Watanzania wenzenu.Kosa ni nini hapo au wivu wako tu?
Pure egoism!Kila mtu anakula ndani ya kamba yake. Hii ilisharuhusiwa
wa ardhi hata JD hajui anapiyanga tu. waziri kazi yake ni kugawa hati? alipaswa awe waziri kipindi cha chizi huyuArdhi unamsingizia tu, ila hao wengine ni kweli kabisa.
Wanakula kwa urefu wa kamba zao
Daah! Nimena mkuu, asante kwa elimu hii. Yaani security guard wa Namibia analipwa vizuri kuliko profesa wa chuo kikuu ktk nchi nyingine Afrika?Bado zipo sane nation's mkuu in Africa,Namibia is one of them.Kwa nini sisi tuwe one of the worst?See how Namibia is fairing in the following clip,very impressive.I wish Namibia was Tanzania
Jeshi hili la makada?....au kuna Jeshi lingineTunahitaji jeshi lichukue hatua.
Acha Majungu Brother...Pambana na familia yakoKuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao.
Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa sasa. Mawaziri hao wamekuwa na tabia ya kugawa fedha ili Bajeti zao ziungwe mkono kwa mujibu wa maelezo ya mtoa taarifa kutoka Bungeni.
Kwa kuanza futailieni utajiri wa mawaziri wa sekta hizi;
1. Maji
2. Kilimo
3. Uchukuzi zamani Ujenzi
4. Mambo ya Nje zamani Nishati
5. Fedha
6. Mipango hasa baada ya Mkataba wa DP
7. Ardhi na danganya toto zake za PR
8. TAMISEMI, huyu yeye anakusanya bila aibu
Kama tungekuwa na vyombo imara vya uchunguzi wahusika hao wanatakiwa kuwa gerezani. Wanakula, wanaiba bila kunawa mikono.
Tukiamua inawezekana,ila kwa hawa manyang'au tulio nao,it is impossible.Daah! Nimena mkuu, asante kwa elimu hii. Yaani security guard wa Namibia analipwa vizuri kuliko profesa wa chuo kikuu ktk nchi nyingine Afrika?
Sisi itatuchukuwa mpk mwisho wa dunia kufika hatua hii.
Habari za siku nyingi bwana Ijumaa Hamidan Awesou?leteni huo ushahidi wa utajir wao, la si hivyo hayo ni majungu tu munapika kama kawaida
Ngoja JPM mwingine aingie uone kazi
WEWE HAJUZA, Mzanzibari sio Mtanzania, na Mtanzania sio MzanzibariKama u mkweli weka udhahidi.
Kwani Mzanzibari siyo Mtanzania?