HahahaaaJingalao==gari kutoka kiwanda cha Nyumbu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Demiss ungekuwa gari ungekuwa kagari ka mzigo.
Labda ka Suzuri Carry. Yaani ka Kirikuu😀😀
Katodo lakini kanabeba mizigo hiyo mnnh.
Ukimaindi poa tu.
[emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kaka hapa nikutetee kakuonea mno
Hahahaaa halafu Asprin ingemfaa Toyota porte[emoji1] [emoji1]
daah hapa kanimaliza aseeh afadhali hata angenifananisha na kaRunx.
Sakayo Volkswagen beetle [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mwenzenu napenda magari.
Member hawa nahisi wangekuwa kama ifuatavyo!
Mshana Jr - Buggati Veyron supersport
Hajar - Ferrari
Shunie - Zenvo SIT
Mzigua90 - Aston Martin one
Mr Miller - Honda fit
mahondaw - Toyota IST
Daby - Toyota vitz
mbalizi1 - Nissan March
Asprin - Toyota Passo
Kiranga - Greda kijiko la kuchota mchanga
Genta- Tingatinga /Kiberenge/
Shindilia la barabarani.
[emoji1] [emoji1] hapo hapo panamfa huyo tena passo odo nimesoma hawasa namba A.Hahahaaa halafu Asprin ingemfaa Toyota porte
Bora hujanitajaMwenzenu napenda magari.
Member hawa nahisi wangekuwa kama ifuatavyo!
Mshana Jr - Buggati Veyron supersport
Hajar - Ferrari
Shunie - Zenvo SIT
Mzigua90 - Aston Martin one
Mr Miller - Honda fit
mahondaw - Toyota IST
Daby - Toyota vitz
mbalizi1 - Nissan March
Asprin - Toyota Passo
Kiranga - Greda kijiko la kuchota mchanga
Genta- Tingatinga /Kiberenge/
Shindilia la barabarani.
Hata mimi naona.... Dawa ya tunguri lkn ndogo sana.... Just use olive oil regularly... Tunguri hazifanyi kazi... Nimekumegea kidogo Ukitaka zaidi njoo pm.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] tusije tukataengeneza waganga wa kienyeji humu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mzee huyu atakuwa kafundishwa kutumia Tunguli sasa ana jeuri.
Tumosa atakuwa Peugeot 505 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mwenzenu napenda magari.
Member hawa nahisi wangekuwa kama ifuatavyo!
Mshana Jr - Buggati Veyron supersport
Hajar - Ferrari
Shunie - Zenvo SIT
Mzigua90 - Aston Martin one
Mr Miller - Honda fit
mahondaw - Toyota IST
Daby - Toyota vitz
mbalizi1 - Nissan March
Asprin - Toyota Passo
Kiranga - Greda kijiko la kuchota mchanga
Genta- Tingatinga /Kiberenge/
Shindilia la barabarani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jingalao==gari kutoka kiwanda cha Nyumbu
Ha ha ha ha ha... Yaani wewe kivitz kivp? Body ya nje au mambo ya ndani? Ebu mzee mwenzangu muombe akuweke wazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee huyu atakuwa kafundishwa kutumia Tunguli sasa ana jeuri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakogoaaaaaaa[emoji1] [emoji1] hapo hapo panamfa huyo tena passo odo nimesoma hawasa namba A.
@mwifwa range rover sports 2017 modelBora hujanitaja
Maana.....
Naona unanivimbisha bichwa hili, gari zote zipo level ya juu siwezi kufanana nazo.@mwifa range rover sports 2017 model
AiseeTumosa atakuwa Peugeot 505 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huo ni mtazamo wako sio wanguNaona unanivimbisha bichwa hili, gari zote zipo level ya juu siwezi kufanana nazo.
Mimi nafikiri naweza kuendana na mkokoteni tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]